Asia Magharibi
  • Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq

    Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq

    Oct 02, 2025 04:56

    Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea kujaribu kuzihalalisha kwa majina tofauti ya udanganyifu.

  • Jihadul Islami, Ansarullah zapinga mpango wa Trump-Netanyahu kuhusu Gaza

    Jihadul Islami, Ansarullah zapinga mpango wa Trump-Netanyahu kuhusu Gaza

    Oct 01, 2025 07:21

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Jihadul Islami ya Palestina amekosoa vikali mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wenye vipengele 20 wa eti kumaliza vita vya mauaji ya halaiki ya Israel dhidi ya Gaza, na kuutaja kama "mfumo wa kuendeleza uchokozi na uvamizi wa Israel dhidi ya taifa la Palestina."

  • Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza

    Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza

    Oct 01, 2025 05:58

    Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza kuwa ni jaribio la kutapatapa la kuuokoa utawala wa kizayuni wa Israel usishindwe katika vita vya mauaji ya kimbari ulivyoanzisha dhidi ya eneo hilo la Palestina uliloliwekea mzingiro.

  • Makombora ya Yemen yafunga uwanja wa ndege wa pili wa Israel

    Makombora ya Yemen yafunga uwanja wa ndege wa pili wa Israel

    Oct 01, 2025 03:01

    Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni, sasa hivi mashambulizi ya wanamapambano ya Yemen yamepelekea kufungwa kabisa uwanja huo kama sehemu ya Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa iliyoongozwa na HAMAS miaka miwili iliyopita.

  • Mashirika ya silaha ya Israel yakumbwa na janga la kusambaratika

    Mashirika ya silaha ya Israel yakumbwa na janga la kusambaratika

    Oct 01, 2025 03:00

    Kadiri jinai na mauaji ya kimbari ya Israel yanavyozidi kuongezeka huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Lebanon ndivyo ususiaji wa kimataifa unavyozidi kushika kasi na sasa hivi mashirika ya silaha ya utawala wa Kizayuni yanakabiliwa na janga la kusambaratika kutokana na uvundo wake kuhinikiza kila sehemu duniani.

  • Yemen: Tuko tayari kuungana na 'jeshi la kimataifa' linalopendekezwa na Colombia kuikomboa Palestina

    Yemen: Tuko tayari kuungana na 'jeshi la kimataifa' linalopendekezwa na Colombia kuikomboa Palestina

    Sep 30, 2025 23:04

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amepongeza pendekezo la hivi karibuni la Rais wa Colombia wakati wa hotuba yake mbele ya Umoja wa Mataifa la kuundwa 'jeshi la kimataifa' litakalopewa jukumu la kuikomboa Palestina kutokana na uvamizi na uporaji wa ardhi unaoungwa mkono na Marekani.

  • Russia: Hatutashiriki kwenye mpango wa Trump kuhusu Gaza

    Russia: Hatutashiriki kwenye mpango wa Trump kuhusu Gaza

    Sep 30, 2025 23:03

    Sambamba na kusisitizia utayarifu wa Russia wa kutatua mgogoro wa Asia Magharibi, Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesisitiza kuwa Moscow haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani juu ya Ukanda wa Gaza.

  • Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami ya Palestina, Ansarullah ya Yemen 'wauponda' mpango wa Trump kuhusu Ghaza

    Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami ya Palestina, Ansarullah ya Yemen 'wauponda' mpango wa Trump kuhusu Ghaza

    Sep 30, 2025 03:35

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kwamba, mpango wa Donald Trump kwa ajili ya Ukanda wa Ghaza ni mpango wa utawala wa Kizayuni na ni waraka wa agizo la kuendeleza uchokozi na uvamizi dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Hamas: Mpango wa Trump 'hauna mpango', hauna dhamana

    Hamas: Mpango wa Trump 'hauna mpango', hauna dhamana

    Sep 29, 2025 23:26

    Rais wa Marekani ambaye ndiye chanzo kikuu cha mauaji ya umati huko Ghaza kwa uungaji mkono wake wa hali ya juu kwa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena amejifanya eti anataka kukomeshwa vita Ghaza, sambamba na kuiunga mkono kikamilifu Israel. HAMAS imepinga mpango huo ikisisitiza kuwa hauna jipya na hauna dhamana yoyote ya kutekelezwa.