-
Kuendelea maandamano ya kulalamikia matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Iraq
Oct 22, 2021 20:49Maandamano ya kulalamikia na kupinga matokeo ya uchaguzi wa bunge la Iraq yangali yanaendelea; na sasa yamesambaa hadi mikoa mingine kadhaa ya nchi hiyo.
-
Vita vya Saudia vimepelekea Wayemen milioni 4 kuwa wakimbizi ndani ya nchi
Oct 22, 2021 03:37Huku muungano vamizi ukiwa unaendeleza vita dhidi ya Yemen, uchunguzi umebaini kuwa, zaidi ya Wayemen milioni 4 wamekuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yao.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Doha na Cairo katika Muktadha wa Busara ya Qatar katika sera ya kigeni
Oct 22, 2021 00:26Kufuatia kuanza kazi kwa balozi wa Qatar mjini Cairo, balozi wa Misri pia aliwasili Doha siku ya Jumatano Oktoba 20 kwa ajili ya kuwakilisha nchi yake katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Jordan: Hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa ni tishio kwa usalama wa dunia
Oct 22, 2021 00:25Ujumbe wa Jordan katika Umoja wa Mataifa umesisitiza katika taarifa yake kwamba, kuendelea hujuma na uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa ni tishio kwa usalama na amani ya dunia.
-
Hamas yapongeza hatua ya Malaysia kukataa kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 21, 2021 08:06Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanajeshi karibu 20 wa Saudi Arabia waangamizwa nchini Yemen
Oct 21, 2021 03:49Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimetangaza kuwa wanajeshi karibu 20 wa nchi hiyo wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika shambulizi la makombora lililofanywa na jeshi la Yemen.
-
Hamas: Upanuzi wa vitongoji vya walowezi huko al Aghwar ni tishio kwa Wapalestina
Oct 21, 2021 03:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina la Bonde la Jordan (Aghwar al Urdun) katika Ukingo wa Magharibi ni tishio kwa uwepo wa Wapalestina katika eneo hilo.
-
Baraza la Usalama lataka kusitishwa vita Yemen haraka iwezekanavyo
Oct 20, 2021 23:23Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka kusitishwa vita haraka iwezekanavyo huko Yemen katika kuunga mkono muungano vamizi na katili wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Shambulio la bomu laua wanajeshi 14 wa Syria katika mji mkuu Damascus
Oct 20, 2021 09:46Televisheni ya taifa ya Syria imetangaza kuwa askari 14 wa jeshi la nchi hiyo wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulio la bomu lililolenga basi lililokuwa limebeba askari hao mapema leo.
-
Malengo na ujumbe wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 20, 2021 08:08Hotuba iliyotolewa juzi na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu matukio yaliyojiri Alkhamisi iliyopita katika eneo la al Tayune mjini Beirut imetambuliwa kuwa tofauti sana na hotuba zake za miaka ya karibuni.