-
Wanajeshi Wazayuni wavamia Maulid ya Mtume SAW mjini Baitul Muqaddas, Palestina + Video
Oct 20, 2021 03:54Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW huko Baitul Muqaddas, Palestina na kujeruhi Waislamu kadhaa.
-
Israel yaingiwa na kiwewe cha kulipiziwa kisasi na muqawama wa Palestina
Oct 20, 2021 03:51Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefunga kambi na njia za kuelekea maeneo ya karibu na Ukanda wa Ghaza huko Palestina kwa kuhofia ulipizaji kisasi wa muqawama wa Palestina kutokana na jinai za kila siku za Wazayuni.
-
Makamanda wanne wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa nchini Yemen
Oct 20, 2021 03:50Makamanda wanne wa ngazi za juu wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia wameangamizwa katika vita na jeshi na kamati za ukombozi za wananchi wa Yemen.
-
Sayyid Nasrullah: Matukio ya Alkhamisi Beirut yalikuwa hatari na tofauti na mengine
Oct 19, 2021 04:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema matukio yaliyojiri siku ya Alkhamisi iliyopita nchini humo ni muhimu na ya hatari na akasisitiza kwamba matukio hayo yanahitaji kuwekewa msimamo.
-
Mamilioni ya Wayemen wahudhuria Maulidi ya Mtume SAW katika mikoa 15
Oct 18, 2021 21:16Vyombo vya habari vimeakisi kwa upana Maulidi ya Mtume Muhammad SAW yaliyoshirikisha mailioni ya Waislamu wa Yemen katika miji mbalimbali ya Yemen ukiwemo mji mkuu San'a. Waislamu wa mikoa mingine 14 nao wamejitokeza kwa wingi mkubwa katika kuonesha haiba na nguvu za wapenzi wa Mtume Muhammad SAW kwenye Maulidi hayo.
-
Matokeo rasmi ya uchaguzi wa bunge Iraq na mkukuriko wa mirengo ya kisiasa kwa ajili ya kuunda Mrengo Mkuu
Oct 18, 2021 21:06Kamisheni Kuu ya Uchaguzi ya Iraq imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi wa tano wa Bunge la nchi hiyo.
-
Ongezeko la idadi ya wanajeshi watoro katika jeshi la Israeli
Oct 18, 2021 08:51Duru za habari za Israel zimeripoti kuwa idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala huo inaongezeka siku baada ya siku.
-
HAMAS yalaani uratibu wa kiusalama baina na Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel
Oct 18, 2021 04:40Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali uratibu na ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU
Oct 18, 2021 00:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).
-
Matamshi yanayokinzana ya Rais wa Jamhuri ya Azerbaijan
Oct 18, 2021 00:21Wakuu wa serikali ya Jamhuri ya Azerbaijan, hasa Rais wa nchi hiyo Ilham Aliyev, wanaendelea kutoa matamshi yanayokinzana kuhusiana na mapatano na nchi jirani ya Armenia.