-
Vikosi vya Yemen vyatangaza mafanikio mapya Ma'rib na Shabwa
Oct 18, 2021 00:21Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi limepata mafanikio makubwa na kusonga mbele katika mikoa ya Ma'rib na Shabwa kwenye operesheni ya "Machipuo ya Ushindi."
-
HAMAS yakosoa hatua ya Saudia ya kuusifu utawala haramu wa Israel
Oct 17, 2021 08:56Moussa Abu Marzouk, mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, hakuna wakati wowote ule ambao Israel ilikuwa sababu ya amani na uthabiti Asia Magharibi na wala hakuna wakati itakuwa hivyo.
-
Baada ya mauaji kuongezeka, kundi la Taliban laahidi kulinda misikiti ya Mashia
Oct 17, 2021 08:51Baada ya mashambulio ya kigaidi dhidi ya misikiti ya Mashia nchini Afghanistan kuongezeka, viongozi wa kundi la Taliban linalotawala nchini humo wametangaza kuwa, wataweza usalama na ulinzi katika misikiti ya Waislamu hao.
-
Abdulsalam: Marekani inashirikiana na al Qaida huko Ma'rib
Oct 17, 2021 04:28Msemaji wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa Marekani imedhihirisha kuwa ina mahusiano na kushirikiana na magaidi baada ya kutaka kufunguliwa vivuko eti vya amani huko Ma'rib.
-
WFP yaitolea wito jamii ya kimataifa kumaliza tatizo la njaa Yemen
Oct 16, 2021 23:22Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana umetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kuhitimisha tatizo la njaa huko Yemen.
-
UNICEF: Mfumo wa afya na huduma za kijamii Afghanistan zinakaribia kusambaratika
Oct 16, 2021 08:33Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) ametangaza kuwa, mfumo wa afya na huduma za kijamii nchini Afghanistan unakaribia kusambaratika.
-
Waziri Mkuu wa Yemen: Mipango michafu ya Israel Asia Magharibi imefeli
Oct 16, 2021 08:33Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametoa pongezi kwa kukombolewa maeneo kadhaa ya Yemen yaliyokuwa chini ya udhibiti wa vikosi mamluki na kueleza kwamba, mipango michafu ya utawala haramu wa Israel pamoja na njama zake Asia Magharibi zimefeli na kugonga ukuta.
-
Kushindwa Marekani kuzuia kuanzishwa tena uhusiano wa nchi za Kiarabu na Syria
Oct 16, 2021 03:53Akizungumza Jumatano mbele ya waandishi habari mjini Washington, Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema nchi hiyo haina nia ya kuunga mkono juhudi za kuboreshwa uhusiano na serikali ya Syria.
-
Hamas yamkosoa rais wa FIFA kwa kuunga mkono utawala wa Israel
Oct 15, 2021 10:40Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestiina (Hamas) imesema hatua ya rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya kushiriki katika ufunguzi wa jengo moja la makumbusho mjini Jerusalem (Quds) ambalo liko katika makaburi ya Wapalestina ni sawa na kuunga mkono uhasama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Lebanon amuonya kinara wa wanamgambo walilotekeleza mauaji Beirut
Oct 15, 2021 10:30Rais wa Lebanon amebainisha masikitiko yake kutokana na mapigano na ufyatulianaji risasi katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut jana huku akimuonya kiongozi wa kundi la wanagambo wa chama cha 'Vikosi vya Lebanon'.