-
Saudia: Tuna nia ya kweli katika mazungumzo yetu na Iran
Oct 15, 2021 03:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amesema kuwa, nchi yake ina nia ya kweli katika mazungumzo yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Muqtada Sadr: Waziri Mkuu ajaye wa Iraq awe na msimamo wa "Si Mashariki Si Magharibi"
Oct 15, 2021 00:49Kiongozi wa harakati ya Sadr nchini Iraq ametaka waziri mkuu ajaye wa nchi hiyo awe na muelekeo wa kutofuata Mashariki wala Magharibi.
-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kupinga uhusiano na Israel
Oct 15, 2021 00:49Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kuendelea jinai za wanamgambo wa SDF kaskazini mwa Syria kwa uungaji mkono wa Marekani
Oct 14, 2021 22:52Kwa mara nyingine tena katika siku za karibuni kumeongezeka jinai zinazofanywa na wanagambo kwa jina la vikosi vya kidemokrasia vya Syria (SDF) dhidi ya wakazi wa maeneo yanayoshikiliwa na wanamgambo hao huko Syria.
-
Watu kadhaa wauawa, zaidi ya 60 wajeruhiwa katika mapigano ya silaha mjini Beirut, Lebanon
Oct 14, 2021 10:21Duru za habari nchini Lebanon zimeripoti kuwa mapigano makali yanendelea baina ya askari usalama na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo idadi ya waliojeruhiwa hadi sasa imepindukia watu 60.
-
UNESCO: Hujuma na jinai za utawala wa Kizayuni Baitul Muqaddas ni batili
Oct 14, 2021 09:32Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema, Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji unaokaliwa kwa mabavu; na hujuma na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya mji huo ni batili.
-
Jihad Islami: Mateka 150 wa Kipalestina wanafanya mgomo wa kula katika jela za Israel
Oct 14, 2021 03:34Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa, mateka 150 wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza za Israel walianza mgomo wa kula tangu jana Jumatano.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria
Oct 13, 2021 22:49Komandi ya Vikosi vya Gadi ya Mipakani ya Iraq imetangaza kuwa hivi sasa jeshi la nchi hiyo linalidhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa Iraq na Syria.
-
OIC yalaani hatua ya Israel kubomoa makuburi ya Wapalestina Quds
Oct 13, 2021 09:26Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kubomoa makaburi ya Waislamu katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hizbullah yaikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa mlipuko wa Bandari ya Beirut
Oct 13, 2021 09:25Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutia pua katika uchunguzi juu ya mlipuko uliotokea mwaka jana katika Bandari ya Beirut.