-
Maswali matatu makuu kuhusiana na uchaguzi wa Bunge wa Iraq
Oct 13, 2021 06:58Duru ya tano ya uchaguzi wa Bunge nchini Iraq imefanyika huku uchaguzi huo ukiibua maswali matatu makuu na ya kimsingi kuhusiana na uchaguzi huo.
-
Israel yaanzisha chokochoko za kijeshi katika miinuko ya Golan ya Syria
Oct 13, 2021 04:09Vyombo vya habari vya Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeanzisha chokochoko na harakati za kijeshi katika eneo la miinuko ya Golan la ardhi ya Syria.
-
Sayyid Nasrullah ataka Lebanon iendelee kuagiza mafuta ya Iran
Oct 12, 2021 04:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelitaka Baraza la Mawaziri la nchi hiyo ya Kiarabu liombe kufutiwa vikwazo vya kuagiza mafuta kutoka Iran ili yawasaidia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Taliban yakataa kushirikiana na Marekani katika mapambano dhidi ya Daesh
Oct 11, 2021 23:00Kundi la Taliban limetangaza kuwa lina uwezo wa kutosha wa kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na kwa msingi huo halitashirikiana na Marekani katika uwanja huo.
-
Haniya: Taifa la Palestina litaungana kutetea mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa
Oct 11, 2021 07:37Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nyumba ya Sheikh Ikrima Sabri na kusisitiza kuhusu mshikamano wa Wapalestina katika kutetea Mji wa Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al Aqsa ulio mjini humo.
-
Nabil Abu Rudeineh: Utawala ghasibu wa Israel ni msingi wa ugaidi
Oct 11, 2021 04:11Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa utawala ghasibu wa Israel ni msingi wa ugaidi.
-
Muqawama wa Palestina wafanyia majaribio kombora jipya
Oct 10, 2021 23:00Chaneli ya televisheni ya Quds imetangaza kuwa muqawama wa Palestina umefanyia majaribio kombora jipya katika kujizatiti na kuimarisha zaidi nguvu na uwezo wake wa kijeshi.
-
Saudi Arabia yaweka masharti mapya kwa Waislamu wanaotaka kwenda kufanya Umra
Oct 10, 2021 23:00Wizara ya Hija na Waqfu ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, itatoa kibali cha kwenda kutekeleza faradhi ya Hija au Umra katika haram mbili tukufu za Makka na Madina kwa wale tu waliopigwa chanjo mbili za kinga ya ugonjwa wa Covid-19 zitakazothibitishwa na nchi hiyo.
-
Wairaq wanachagua wawakilishi wao bungeni leo, ni wa tano baada ya kung'loewa Saddam Hussein
Oct 10, 2021 09:35Mamilioni ya Wairaqi leo Jumapili wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la Taifa la nchi hiyo.
-
HRW yakosoa tena rekodi mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Oct 10, 2021 09:03Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa tena rekodi mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia likisema kuwa, serikali ya nchi hiyo inatumia mbinu ya kuwekeza katika michezo na kuwa mwenyeji wa matukio ya kimataifa kwa ajili ya kuficha rekodi yake mbaya katika uwanja huo.