-
Iran na Syria mfano mzuri wa ushirikiano wa kistratijia kieneo
Oct 10, 2021 07:46Iran na Syria zimechukua na zitaendelea kuchukua hatua muhimu katika kupambana na ugaidi wa kiuchumi kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wa nchi mbili hizi.
-
Jeshi la Syria latungua makombora ya utawala haramu wa Israeli
Oct 10, 2021 04:17Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mkoa wa Homs, katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Khatibu wa Masjidul-Aqswa: Kuwaruhusu Mayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al-Aqswa ni uamuzi hatari zaidi
Oct 09, 2021 23:00Khatibu wa Masjidul-Aqswa amesema kuwa, hatua kutolewa idhini ya kuwaruhusu Mayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al-Aqswa ni uamuzi hatari zaidi.
-
Hujuma ya kigaidi ya Kunduz, na majukumu ya kundi la Taliban
Oct 09, 2021 22:56Waislamu wasiopungua mia moja wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga waumini waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa wiki hii katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan na wengine karibu mia mbili wamejeruhiwa.
-
Maadhimisho ya mwaka wa 34 tangu kuasisiwa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina
Oct 09, 2021 07:55Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imefanya maadhimisho kwa mnasaba wa kutumia mwaka wa 34 tangu kuasisiwa kwake.
-
Hamas yawataka Wapalestina wajitayarishe kuutetea Msikiti wa al Aqsa
Oct 09, 2021 04:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imewataka Wapalestina wajitayarishe kwa ajili ya kuutetea Msikiti wa al Aqsa bila ya kujali uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kusitisha azma yake ya kuruhusu ibada ya Mayahudi katika eneo hilo tukufu.
-
Ukingo wa Magharibi, kaburi la njama na mipango ya utawala wa Kizayuni
Oct 08, 2021 23:05Chama cha Jihad Islami cha Palestina kimeashiria mazingira ya hivi sasa ya miji ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ushirikiano uliopo kati ya wakazi wa miji hiyo na wale wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa ukingo huo umekuwa na utaendelea kuwa kaburi la njama na miradi ya Kizayuni.
-
Wanamapambano Palestina walaani kuvunjiwa heshima Msikiti wa al Aqsa
Oct 08, 2021 13:22Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametangaza kuwa, kuwaruhusu Wayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa ni hatua hatari sana inayovunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
UN: Mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana"
Oct 08, 2021 03:59Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana".
-
Mashirika ya Umoja wa Mataifa: Utapiamlo kwa watoto umekithiri nchini Afghanistan
Oct 07, 2021 04:16Imeelezwa kuwa, hali ya kutokuwa na uhakika wa kupata chakula na vita nchini Afghanistan vimeongeza maradufu tatizo la utapiamlo kwa watoto katika nchi hiyo, na hivyo kuzusha wasiwasi mkubwa kwa hatima ya watoto hao pamoja na familia zao.