-
Az-Zahar: Uingereza ndio iliyoandaa mazingira ya Palestina kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Oct 07, 2021 01:06Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, wavamizi wa Kiingereza ndio walioandaa mazingira kwa Wazayuni kuvamia na kuikalia kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Imethibitishwa kuwa rais mtoro wa Afghanistan aliiba mamilioni ya dola alipokimbilia nje ya nchi
Oct 07, 2021 01:05Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amethibitisha kuwa Muhammad Ashraf Ghani, rais mtoro wa Afghanistan aliiba na kuondoka na mamilioni ya dola wakati alipokimbilia nje ya nchi.
-
Siasa za kibeberu za Marekani, msababishaji mkuu wa matatizo yote ya Afghanistan
Oct 07, 2021 01:05Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa matatizo yote yaliyoko Afghanistan hivi sasa yamesababishwa na siasa za kibeberu za Marekani
-
Hizbullah: Tuna haki ya kuvunja mzingiro wa Marekani dhidi ya Lebanon
Oct 06, 2021 09:26Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la muqawama lina haki ya kutumia njia zote halali kulilinda taifa la Lebanon, na kuvunja vikwazo na mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Yemen latungua droni ya Saudia mkoani Ma'rib
Oct 06, 2021 09:03Jeshi la Yemen limetangaza habari ya kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Saudi Arabia wakati ikiwa katika oparesheni ya kijasusi katika mkoa wa Ma'rib, katikati mwa nchi.
-
Hofu kubwa ya Bennett kutokana na kuendelea machfuko baina ya Waarabu na Mayahudi Israel
Oct 06, 2021 05:16Naftali Bennett, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameshindwa kuficha wahka na hofu yake kubwa kutokana na kuendelea machafuko baina ya Waarabu na Mayahudi katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel. Amedai kuwa askari usalama wa utawala wa Kizayuni si maadui wa raia Waarabu wa "Israel."
-
Jihad Islami: Ukingo wa Magharibi utakuwa makaburi ya ndoto za Wazayuni
Oct 05, 2021 23:33Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa, hatua ya kuzuia Gaza kuwa na nafasi muhimu katika mpango wa kitaifa wa Palestina itafeli na kushindwa na kwamba eneo la Ukingo wa Maghariibi litakuwa makaburi ya njama na ndoto za Wazayuni wa Israel.
-
Serikali ya mamluki wa Saudia yawahukumu kifo maafisa wake kadhaa
Oct 05, 2021 07:16Shirika la ujasusi wa kijeshi la serikali ya mamluki wa Saudi Arabia inayoongozwa na rais mkimbizi Abdu Rabuh Mansour Hadi, limewahukumu kifo maafisa wake kadhaa kwa kushindwa kuulinda mkoa wa Maarib.
-
"Kujipendekeza Abbas kwa Israel kunaashiria kudidimia Mamlaka ya Ndani Palestina"
Oct 05, 2021 04:30Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali hatua ya Mamhoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kujidhalilisha na kuwaangukia miguuni maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho kinaonesha namna mamlaka hiyo inavyoendelea kudidimia na kusambaratika.
-
Interpol yairejeshea Syria uanachama wake
Oct 05, 2021 04:28Syria imerejeshewa uanachama wake katika shirika la Polisi ya Kimataifa (Interpol).