-
Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon
Oct 04, 2021 22:52Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
Kutiwa kiwewe utawala wa Bahrain na maandamano ya wananchi
Oct 04, 2021 22:48Hivi karibuni akthari ya miji ya Bahrain ilishuhudia maandamano makubwa ya wananchi wa nchi hiyo ya kupinga safari ya Yair Lapid, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala haramu wa Israel katika nchi yao.
-
Abbas akutana na mawaziri wa Israel usiku wa manane Ramallah
Oct 04, 2021 08:07Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekutana na kufanya mazungumzo na mawaziri wawili wa utawala haramu wa Israel mjini Ramallah, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Taliban yasambaratisha ngombe ya ISIS kaskazini mwa Kabul
Oct 04, 2021 08:06Kundi la Taliban nchini Afghanistan limetangaza habari ya kuuvunja mtandao wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) huko kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
-
Licha ya kudai kufanya juhudi za kusimamisha vita, Saudia bado inaishambulia Yemen
Oct 04, 2021 03:42Duru za kijeshi nchini Yemen zimetangaza habari ya kufanyika mashambulizi mapya ya Saudi Arabia dhidi ya maeneo tofauti ya Yemen licha ya madai ya Riyadh kuwa inafanya mazungumzo na Marekani kuhusu kukomeshwa uvamizi wa Yemen.
-
Daesh yatoa mwito wa kukabiliana na kundi jingine la mamluki wa Imarati nchini Yemen
Oct 04, 2021 03:42Kamanda mmoja wa magaidi wa Daesh (ISIS) katika mji wa Crater mkoani Aden kusini mwa Yemen amewataka wakazi wa mji huo wajiunge na genge lake ili kukabiliana na Baraza la Mpito la Kusini ambalo ni la mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Ansarullah ya Yemen yaikomboa Ma'rib toka mikononi mwa wavamizi
Oct 03, 2021 09:11Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefanikiwa kuukomboa mkoa wa kistratajia wa Ma'rib uliokuwa chini ya udhibiti wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Iran yautaka Umoja wa Mataifa ukomeshe haraka iwezekanavyo jinai za Israel dhidi ya Palestina
Oct 03, 2021 04:43Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka za kuhitimisha jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Russia: Marekan inawahamishia Afghanistan magaidi wa Daesh
Oct 03, 2021 01:09Naibu Kamanda wa Wilaya ya Kati ya Jeshi la Russia amesema kuwa jeshi la Marekani linawahamisha magaidi walioko Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Mamluki wa Imarati wazidi kutwangana wenyewe kwa wenyewe Yemen
Oct 03, 2021 01:08Duru za habari zimetangaza kuwa, makundi mawili ya mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yanatwangana vibaya katika mkoa wa Aden, wa kusini mwa Yemen, na kupelekea watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.