-
Sababu za Wapalestina kutaka Mahmoud Abbas atoke madarakani
Sep 23, 2021 08:12Katika hali ambayo Wapalestina waliowengi wanataka Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aondolewe madarakani, utawala haramu wa Israel unafanya kila unaloweza kuhakikisha kuwa nafasi ya kiongozi juyo inaimarishwa zaidi na kumfanya aendelee kusalia katika kilele cha uongozi wa Palestina.
-
Mamluki wote wa wavamizi wa Yemen wajisalimisha kwa Ansarullah huko Abadiya
Sep 23, 2021 07:30Mamuliki wote wa wavamizi wa Yemen wanaoongozwa na Saudi Arabia katika wilaya ya al Abadiya mkoani Marib wamejisalimisha kwa jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen.
-
Khatibu wa al-Aqswa: Wazayuni wanataka kutwisha uhakika mwingine kuhusu Msikiti wa al-Aqswa
Sep 23, 2021 04:38Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa amesisitiza kuwa, hatua ya Wazayuni ya kung'ang'a kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti wa al-Aqswa inaweka wazi njama zao za kutaka kutwisha uhakika mpya kuhusiana na kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Mamia ya walowezi wa Kizayuni wakivamia Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Sep 23, 2021 01:13Vitendo vya chuki na uadui vya walowezi wa Kizayuni vimeendelea baada ya mamia ya walowezi hao wenye chuki na Uislamu kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Jihadul-Islami ya Palestina: Kipaumbele kwa sasa ni kukabiliana na Wazayuni maghasibu
Sep 22, 2021 09:21Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesisitiza kuwa kipaumbele cha Wapalestina kwa sasa ni kukabiliana na Wazayuni maghasibu.
-
Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon
Sep 22, 2021 04:02Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa msafara mwingine wa malori yenye shehena ya mafufa kutoka Iran umewasili Lebanon baada ya kuvuka mpaka wa Syria.
-
Mamilioni ya Wayemen waandamana kuadhimisha Mapinduzi ya nchi hiyo
Sep 21, 2021 08:07Mamilioni ya wananchi wa Yemen leo Jumanne wamefanya maandamano makubwa katika mkoa wa Saada wa kaskazini wa nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba, siku ya mapinduzi ya nchi hiyo.
-
Bunge la Lebanon laipigia kura ya kuwa na imani nayo serikali ya Waziri Mkuu Mikati
Sep 20, 2021 23:14Bunge la Lebanon limeipigia kura ya kuwa na imani nayo serikali ya Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo Najib Mikati.
-
Abdulmaliki al Houthi: Saudi Arabia na Imarati ni vibaraka wa Marekani
Sep 20, 2021 22:12Katibu Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni nyenzo zinazotumiwa na Marekani.
-
Syria yalaani chokochoko na uvamizi wa Uturuki
Sep 20, 2021 22:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani hatua za Uturuki za kukiuka mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa Syria ina haki ya kujibu chokochoko hizo.