-
Onyo kali la Meja Jenerali Mohammad Bagheri kwa makundi ya kigaidi na waungaji mkono wao
Sep 20, 2021 08:18Katika miaka ya karibuni, makundi ya kigaidi na kwa uungaji mkono wa Marekani na utawala haramu wa Israel yameongeza ugaidi na mashinikizo ya juu ya kiusalama dhidi ya Iran katika maeneo ya mpakani na ndani ya mipaka ya Iran.
-
Waziri wa Masuala ya Kidini wa Israel: Katu hatutaruhusu kuundwa nchi ya Palestina
Sep 19, 2021 21:59Waziri wa Masuala ya Kidini wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, serikali ya sasa ya utawala huo, haitaruhusu kwa namna yoyote ile kuundwa nchi ya Palestina.
-
Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox: Waarabu wanatoa nara tupu tu kuhusu Quds
Sep 19, 2021 21:58Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox huko Quds Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema kuwa, mji wa Baitul-Muqaddas umegeuzwa kuwa jinamizi kwa wakazi wake wakati wa mapumziko ya Wazayuni kwani, walowezi wamekuwa wakivinjari na kutembea kwa uhuru bila hata ya kuzingatia maadili.
-
Hamas yatahadharisha kuhusu hatari ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 19, 2021 12:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imetahadharisha kuhusu hatari za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na taathira zake mbaya kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Saudia kuwanyonga wafungwa 41, jumuiya za kimataifa zapaza sauti kupinga
Sep 19, 2021 12:03Wafungwa 41 wanaoshikiliwa katika jela za Saudi Arabia wamehukumiwa kifo baada ya mahakama za nchi hiyo kutoa hukumu za kidhalimu dhidi ya wafungwa hao.
-
Muqawama wa Palestina wakataa mpango wa Israel wa "Uchumi Mkabala wa Usalama"
Sep 18, 2021 21:54Muqawama wa Palestina umesisitizia ulazima wa kuendelea kutoa mashinikizo kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kueleza kwamba hautaruhusu wala kukubali mpango wa Kizayuni wa "Uchumi Mkabala wa Usalama".
-
Mwito wa kundi la Taliban kwa jamii ya kimataifa
Sep 17, 2021 22:39Kundi la Taliban nchini Afghanistan limesema kuwa linataka kuwa na uhusiano mzuri na jamii ya kimataifa. Kundi hilo limesema kuwa, manufaa ya Afghanistan ni manufaa ya jamii ya kimataifa na kusisitiza kwamba, lina hamu ya kuwa na uhusiano mzuri wa kidiplomasia na jamii ya kimataifa.
-
New York Times: Hizbullah imeishinda na kutoa pigo kwa Marekani
Sep 17, 2021 22:37Gazeti la New York Times la Marekani limekiri kuwa harakati ya Hizzbullah ya Lebanon imeibuka na ushindi katika mpambano wake na Marekani.
-
Wananchi wa Argentina waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Sep 17, 2021 06:53Wanaharakati wa kisiasa na viongozi wa asasi za kijamii na za haki za binadamu nchini Argentina wameandamana wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Hali ya hatari kusini mwa Yemen; kufeli kikamilifu muungano vamizi wa Kisaudi
Sep 17, 2021 03:35Aidarus al Zoubaidi, mkuu wa baraza lijiitalo "Baraza la Mpito la Yemen" ambalo ni la mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ametangaza hali ya hatari na kutotoka nje katika mikoa ya kusini mwa Yemen. Hali hiyo ya hatari imetangazwa baada ya wananchi wa miji tofauti ya kusini mwa nchi hiyo kufanya maandamano makubwa ya kulalamikia wavamizi na mamluki wao.