-
Saudi Arabia ndiyo inayoongoza ukandamizaji wa raia wa kusini mwa Yemen
Sep 16, 2021 22:11Huku maandamano ya wananchi wa kusini ya Yemen yakipamba moto dhidi ya wavamizi wa nchi yao, harakati moja ya nchi hiyo imesema kuwa, Saudi Arabia ndiyo inayoongoza ukandamizaji wanaofanyiwa waandamanaji hao.
-
Mwaka mmoja baada ya makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel Septemba 2020; natija yake nini?
Sep 16, 2021 22:09Umepita mwaka mmoja tangu kulipotiwa saini makubaliano baina ya utawala haramu wa Israel na nchi mbili za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain, ambapo mataifa hayo ya Kiarabu yaliafiki kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Waziri wa Lebanon: Mafuta ya Iran yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Sep 16, 2021 07:47Waziri wa Kazi wa serikali mpya ya Lebanon amesema sambamba na kuingia misafara ya mafuta ya Iran katika ardhi ya nchi hiyo kwamba, shehena hizo za mafuta zimevunja mzingiro wa kihistoria na wa kidhalimu ambao Marekani ilikuwa imeiwekea Lebanon.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 15, 2021 21:53Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Hatibu wa al Aqsa: Mapambano ya taifa la Palestina yamezima njama za Israel dhidi ya Al Aqsa
Sep 15, 2021 08:27Hatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesema kuwa mapambano na kusimama kidete kwa taifa la Palestina vimezima na kukwamisha njama za utawala haramu wa Israel za kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.
-
Nukta kadhaa za kuzingatia kuhusu madai ya Imarati ya kupambana na ugaidi
Sep 15, 2021 05:48Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, umeongeza majina ya watu 38 na mashirika 15 katika orodha yake ya watu wanaodaiwa kuunga mkono ugaidi ambapo majina ya Wairani kadhaa yanaonekana katika orodha hiyo.
-
Maelfu ya Wayemen waandamana nchini Marekani kulaani jinai za Saudia
Sep 15, 2021 02:47Maelfu ya Wayemen wamefanya maandamano katika miji ya New York, Michigan na California kulaani mauaji ya Abdul Malik al Sanabani (30), mwanachuo mwenye asili ya Yemen aliyekuwa akiishi nchini Marekani.
-
Wamarekani waiba shehena nyingine ya mafuta ya Syria
Sep 15, 2021 01:51Wanajeshi magaidi na wavamizi wa Marekani wameiba shehena nyingine ya mafuta ya wananchi wa Syria.
-
Israeli imetoa dozi 50,000 za chanjo ya COVID-19 zilizokwisha muda wake kwa wakazi wa Gaza
Sep 14, 2021 22:03Wizara ya Afya ya Ghaza imesema kuwa utawala ghasibu wa Israel unapasa kubeba dhima kuhusu dozi elfu 50 za chanjo ya COVID-19 zilizokwisha muda wa matumizi zilizotolewa kwa eneo la Ukanda wa Ghaza linalosumbuliwa na mzingiro.
-
Maandamano dhidi ya Pakistan mjini Kabul, Afghanistan
Sep 13, 2021 20:59Idadi kubwa ya wananchi wa Kabul mji mkuu wa Afghanistan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Pakistan wakiitaka Islamabad iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao.