-
Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Sep 12, 2021 21:57Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa droni yaani ndege zisizo na rubani za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina uwezo mkubwa wa kufanya mashambulizi makini na angamizi.
-
Mbunge: Waueni mateka wote wa Kipalestina ili wasiweze kutoroka tena
Sep 12, 2021 03:15Mbunge mmoja wa Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel mwenye misimamo mikali na chuki za kupindukia dhidi ya Wapalestina ametoa wito wa kuuawa kwa kunyongwa mateka wote wa Palestina ili wasiweze kutoroka tena kutoka gerezani.
-
Umoja wa Mataifa wakosolewa kwa kuupendelea muungano vamizi wa Saudia
Sep 12, 2021 03:15Viongozi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen wamekosoa vikali kile walichokitaja kuwa, hatua za Umoja wa Mataifa za kuupendelea muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia.
-
Wabahrain waandamana wakipinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 12, 2021 03:14Wananchi wa Bahrain wameendelea kupinga hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Umoja wa Kiarabu washirikiana na utawala wa Kizayuni kuituhumu Iran
Sep 12, 2021 02:51Katika siku za karibuni, Marekani kwa mara nyingine imeamua kushirikiana na washirika wake wa Mashariki ya Kati katika kutilia shaka mpango wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani na kuutaja kuwa ni tishio kwa usalama wa eneo.
-
Naeem Qassem: Shehena za meli za mafuta za Iran ni mafanikio makubwa ya kisiasa dhidi ya dhulma za Marekani
Sep 11, 2021 21:45Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa shehena za meli za mafuta za Iran zilizotumwa Lebanon kwa ajili ya kupunguza mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni mafanikio ya kisiasa na kijamii mbele ya dhulma za serikali ya Washington na jinai zake dhidi ya wanadamu.
-
HAMAS: Wazayuni hawana ubavu wa kuizuia Gaza isiendeleze mapambano ya silaha
Sep 11, 2021 06:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuishambulia kwa mabomu Gaza haiwezi kulizuia eneo hilo lisiendeleze mapambano yake ya silaha dhidi ya adui Mzayuni.
-
Mpango wa Chakula watahadharisha kuhusu kuongezeka njaa nchini Afghanistan
Sep 11, 2021 06:50Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusiana na kuongezeka baa la njaa nchini Afghanistan.
-
Hizbullah: Kutumwa meli ya mafuta ya Iran Lebanon ni mwanzo wa kuvunjwa mzingiro wa Marekani
Sep 11, 2021 03:41Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, "kwa kutumwa meli ya mafuta ya Iran tumeingia kwenye awamu ya kuvunja mzingiro wa Marekani."
-
Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa
Sep 10, 2021 22:41Agizo la kuundwa serikali ya Lebanon limesainiwa rasmi na Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.