-
Handaki ya Uhuru; Pigo Kali la Mateka wa Kipalestina kwa Usalama wa Israel
Sep 10, 2021 21:01Mateka 6 wa Kipalestina wametoa pigo kali kwa hadhi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hatua yao ya kuchimba njia ya chini ya ardhi iliyopewa jina la "Handaki ya Uhuru".
-
Vyombo vya Kizayuni vyakiri kufeli Israel Ukanda wa Ghaza
Sep 10, 2021 21:00Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kushindwa Israel katika vita vya hivi karibuni vya Ukanda wa Ghaza na kusema kuwa, kiwango cha kufeli huko ni kikubwa sana.
-
Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq
Sep 10, 2021 08:20Kamandi Kuu ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq imetangaza tarehe ya mwisho kwa askari wa jeshi la Marekani kuwepo katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Israel yaiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka Wapalestina waliotoroka jela
Sep 10, 2021 08:16Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka sita Wapalestina waliotoroka jela ya utawala huo ghasibu.
-
Umoja wa Mataifa: Asilimia 97 ya Waafghani wanaelekea kuishi chini ya mstari wa umasikini
Sep 10, 2021 03:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 97 ya wananchi wa Afghanistan wamo katika hatari ya kuingia chini ya mstari wa umasikini.
-
Kukimbia mateka wa Kipalestina, pigo kwa usalama wa utawala wa Kizayuni
Sep 09, 2021 22:16Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa kukimbia mateka 6 wa Kipalestina ni pigo kubwa kwa usalama wa utawala huo.
-
Kuundwa serikali ya Taliban nchini Afghanistan
Sep 09, 2021 04:39Serikali ya mpito iliyoundwa na wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imeanza rasmi kazi zake.
-
UN: Raia wasiopungua 18,000 wameuliwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya Saudia nchini Yemen
Sep 09, 2021 03:07Timu moja ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, tangu vita vya Yemen viliposhika kasi mwaka 2015, raia wasipungua 18,000 wameuliwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya anga ya wavamizi wa nchi hiyo ya Kiislamu wanaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Mateka wa Palestina wachoma moto jela nyingine ya Kizayuni
Sep 09, 2021 03:02Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, mateka wa Palestina wamechoma moto jela ya pili ya utawala wa Kizayuni.
-
Mateka Wapalestina wachoma moto jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot
Sep 08, 2021 22:05Duru za habari za Kiebrania zimetangaza kuwa mateka Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot wamechoma moto vyumba walimowekwa ndani ya jela hiyo.