-
Umoja wa Mataifa: Nusu ya raia wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu
Sep 08, 2021 07:19Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kibinadamu amesema kuwa, nusu ya wananchi wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu.
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yaitahadharisha Israel
Sep 07, 2021 22:45Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametahadharisha kwamba, hali ya Ukanda wa Gaza inakaribia kuripuka na yameupa utawala wa Israel siku 15 kuruhusu bidhaa muhimu kwa ajili ya raia wa Palestina katika eneo hilo.
-
Al Khazali: Muqawama unasubiri kuondoka kivitendo Marekani
Sep 07, 2021 06:57Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesisitiza kuwa, kamati ya Kuratibu Muqawama inasubiri kuondoka Marekani kivitendo nchini humo.
-
Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza
Sep 07, 2021 06:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amezitaka Marekani na Uingereza kutoa mchango chanya na kutoegemea upande wowote katika juhud za kurejesha amani huko Yemen.
-
Saudi Arabia ni nchi mbaya zaidi duniani kwa upande wa ukiukaji wa uhuru hasa wa kisiasa
Sep 07, 2021 06:38Taasisi moja ya Utafiti ya nchini Marekani imetangaza kuwa Saudi Arabia ni nchi ya saba kwa kukiuka uhuru na demokrasia duniani.
-
Wapalestina waandamana kwa maelfu kusherehekea metaka 6 waliotoroka jela kishujaa
Sep 07, 2021 03:17Maelfu ya Wapalestina katika Ufukwe wa Magharibi na Ukanda wa Gaza wameandamana kwa mnasaba wa kusherehekea kutoroka kishujaa mateka sita Wapalestina waliokuwa wakishikiliwa kwenye jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Fawzi Barhoum : Kutoroka jela mateka wa Palestina ni hatua ya kishujaa
Sep 06, 2021 06:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hatua ya mateka 6 wa Kipalestina ya kutoka kwenye jela ya utawala wa Kizayuni licha ya kuweko ulinzi mkali, ni ya kishujaa.
-
Shirika la Msalaba Mwekundu: Watoto wa Gaza wanaishi katika hali ya woga daima
Sep 06, 2021 02:57Shirika la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, watoto wa Gaza huko Palestina kwa miaka mingi sasa wamekuwa wakikabiliwa na mazingira mabaya ya mashinikizo ya kinafsi na kisaikolojia kufuatia hujuma na mashambulio ya jeshi la utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Ubunifu wa Hizbullah na kushindwa siasa za mzingiro na uingiliaji za Marekani
Sep 06, 2021 01:55Ubunifu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon katika kuingiza nchini mafuta kutoka Iran na hivyo kudhibiti mgogoro wa nishati wa nchi hiyo, kunachukuliwa kuwa ishara ya wazi ya kushindwa siasa za mzingiro za Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS yawataka Wapalestina wauhami Msikiti wa Aqsa
Sep 05, 2021 22:34Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika mji wa Quds Tukufu ametoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al-Aqsa ili kuuhami na kuulinda dhidi ya uvamizi wa Walowezi wa Kizayuni, wakati wa sherehe na matambiko yao.