-
Rais wa Israel na Mfalme wa Jordan wafanya mkutano wa siri
Sep 05, 2021 22:33Rais wa utawala haramu wa Israel, Isaac Herzog amefichua kuwa alikutana na kufanya mazungumzo na Mfalme Abdullah II wa Jordan, mkutano wa siri uliofanyika wakati huu ambapo uhusiano wa Amman na Tel Aviv unazidi kuimarika.
-
Hamas yaishukuru Iran kwa kuwasaidia Wapalestina na mapambano yao
Sep 05, 2021 06:31Kiongozi wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Wapalestina na harakati zao za muqawama au mapambano.
-
Palestina yataka kuharakishwa kesi ya kuchunguza uhalifu wa Israel mahakama ya ICC
Sep 05, 2021 02:49Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imetoa wito wa kuharakishwa mwenendo wa kesi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko Hague nchini Uholanzi kwa ajili ya kuchunguza jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu yatuma salamu za rambirambi kifo cha Mkuu wa Baraza la Mashia Lebanon
Sep 05, 2021 02:18Katibu Mkuu wa Jumuiya Kimataifa ya Kukurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Lebanon.
-
Jihad Islami: Machaguo mengi yatakuwa meza dhidi ya Israel iwapo mzingiro wa Gaza hautaondolewa
Sep 04, 2021 22:46Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetishia kuwa, machaguo mengi yatakuwa mezani dhidi ya utawala ghasibu wa Israel iwapo utawala huo hautaondoa mzingiro wa pande zote dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Jeshi la Syria limetungua makombora 21 kati ya 24 ya Israeli
Sep 04, 2021 22:10Jeshi la Russia linasema makombora ya ulinzi wa anga ya Jeshi la Syria yametungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus hivi karibuni.
-
Iran yaeleza wasiwasi wake kuhusu machafuko na ghasia za Afghanistan
Sep 04, 2021 07:05"Afghanistan ya leo imechoshwa na miaka mingi ya kukaliwa kwa mabavu, vita na machafuko, kwa msingi huo makundi yote yanapaswa kujiepusha na machafuko na kuuana wao kwa wao."
-
Wananchi wa Bahrain walaani kutumwa balozi wa Aal-Khalifa huko Israel
Sep 04, 2021 05:53Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, sanjari na pande mbili hizo kubadilishana mabalozi.
-
Wapalestina 45,000 wahudhuria Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al Aqsa
Sep 03, 2021 23:05Vyombo vya habari vya Palestina vimetangaza kuwa, Waislamu Wapalestina wamehudhuria kwa wingi katika Sala ya Ijumaa ya jana kwenye msikiti mtukufu wa Al Aqsa.
-
Tathmini kuhusu hatua ya Marekani kuondoka katika vituo vyake vitatu vya kijeshi Syria
Sep 03, 2021 07:15Marekani imeondoka katika vituo vyake vitatu vya kijeshi vilivyoko katika mikoa ya Deir ez-Zor na Al-Hasakah nchini Syria.