-
Hamas yapinga masharti ya Marekani kwa shirika la UNRWA
Sep 03, 2021 03:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imepinga suala la kuanza tena shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kibinadamu kwa Wapalestina, UNRWA kwa kifupi.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Hakuna shaka yoyote juu ya kuwepo muungano baina ya Saudia na Israel
Sep 02, 2021 21:57Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
-
Mkuu mpya wa Shin Bet ya Israel aliongoza mauaji ya kamanda wa tawi la kijeshi la HAMAS
Sep 02, 2021 21:57Kwa mara ya kwanza, gazeti la Kizayuni la Yediot Ahronot limetoa taarifa kuhusu mkuu mpya wa shirika la usalama wa ndani la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shin Bet na kueleza kuwa, afisa huyo ndiye aliyeongoza mauaji ya kigaidi ya mwaka 2012 ya kamanda mwandamizi wa Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la harakati ya HAMAS ya Palestina.
-
Msimamo wa Pakistan kuhusu masharti ya msaada wa jamii ya kimataifa kwa Taliban huko Afghanistan
Sep 02, 2021 06:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa kundi la Taliban linaweza kupatiwa misaada ya kimataifa kwa sharti kwamba liheshimu vipengee mbalimbali vya haki za binadamu.
-
Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon
Sep 02, 2021 02:59Mufti wa Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ni fahari kwa Lebanon na kwamba, kama kuna saratani nchini humo na ulimwenguni, basi saratani hiyo ni Marekani na wafuasi wake.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan
Sep 02, 2021 02:57Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa chakula nchini Afghanistan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuisaidia nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Afghanistan inakaribia kukumbwa na maafa ya kibinadamu
Sep 01, 2021 06:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, Afghanistan inakaribia kutumbukia katika janga la kibinadamu.
-
Kambi ya kijeshi ya Marekani yashambuliwa kwa maroketi Deir ez-Zor
Sep 01, 2021 02:51Duru za kiusalama zimeripoti habari ya kushambuliwa kwa maroketi kambi ya kijeshi ya Marekani katika mkoa wa Deir ez-Zor, mashariki mwa Syria.
-
Makumi ya askari wa muungano wa Saudia wauawa Ma'rib, Yemen
Sep 01, 2021 02:45Makumi ya askari na mamluki wa vikosi vya waitifaki wa Saudi Arabia wameangamizwa katika makabiliano na jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea wananchi.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Kipalestina kwa kumpiga risasi
Aug 31, 2021 22:53Askari wa utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi kijana wa Palestina kwa kumpiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.