-
Vikosi vya Yemen vyakaribia kuidhibiti tena Ma’rib
Aug 31, 2021 22:20Muungano wa vikosi vya ulinzi vya Yemen umezidisha mashambulizi dhidi ya vikosi vya waitifaki wa Saudi Arabia na ripoti zinasema jeshi la Yemen linakaribia kuudhibiti tena mji Ma’rib ambao ni makao makuu ya mkoa huo wa kistratijia.
-
Mazungumzo ya Mahmoud Abbas na Benny Gantz; mchezo wa wazi katika uwanja wa Israel
Aug 31, 2021 22:18Jumapili ya tarehe 29 Agosti, Mahmoud Abbas Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina alikutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa Utawala haramu wa Israel.
-
Ansarullah yazionya US na Saudia zijiandae kupata pigo Yemen
Aug 31, 2021 09:00Baada ya Marekani kuondoka kwa madhila na fedheha kubwa nchini Afghanistan licha ya kutumia matrilioni ya dola, Harakati ya Ansarullah ya Yemen imezitaka Marekani na Saudi Arabia ziandae ramani ya njia ya kuondoka Yemen na kuonya kuwa, nchi hiyo ya Kiarabu karibu hivi itageuka na kuwa kaburi la wavamizi.
-
Msemaji wa Taliban: Kushindwa Marekani Afghanistan ni funzo kwa wavamizi
Aug 31, 2021 03:30Msemaji wa kundi la Taliban Zabuhullah Mujahid amesema kushindwa Marekani nchini Afghaniastan ni 'funzo' kwa wavamizi.
-
Ripoti: Israel imewakamata Wapalestina 1,900 tangu mwanzo wa 2021
Aug 30, 2021 23:25Tangu mwanzo wa mwaka huu wa 2021, Utawala wa Kizayuni wa Israeli umewakamata Wapalestina wasiopungua 1,900, pamoja na idadi kubwa ya watoto, kote katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio la drone la Marekani Afghanistan
Aug 30, 2021 06:56Watoto wadogo ni miongoni mwa raia kadhaa waliouawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.
-
Jeshi la Iraq laua viongozi kadhaa wa ISIS kaskazini mwa nchi
Aug 30, 2021 06:54Idara ya Intelejensia na Upelelezi ya Iraq imetangaza habari ya kuangamizwa wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi.
-
Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz
Aug 30, 2021 06:52Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.
-
Nukta muhimu kuhusu kikao cha Baghdad
Aug 30, 2021 03:15Kongamano la Baghdad Kwa Ajili ya Ushirikiano lilifanyika Jumamosi Agosti 28 na kushirikisa viongozi kutoka nchi 9 ambazo ni Ufaransa, Iran, Misri, Saudi Arabia, Uturuki, Qatar, Jordan, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
Jihad al Islami yasisitizia wajibu wa kupambana na njama zote za Wazayuni
Aug 30, 2021 02:40Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, matamshi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na wengine, kamwe hayawezi kuudhoofisha muqawama na kwamba makundi ya wanamapambano wa Palesitna yako tayari kukabiliana na upuuzi wowote wa Israel.