-
UN: Nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa
Aug 30, 2021 02:40Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa kutokana na vita walivyobebeshwa wananchi hao.
-
Muqtada al-Sadr: Mkutano wa Baghdad umeonesha umuhimu wa Iraq
Aug 29, 2021 21:58Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Mkutano wa Baghdad uliofanyika juzi Jumamosi umeonesha nafasi na umuhimu wa Iraq katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ansarullah yaangamiza askari 30 wa muungano wa Saudia katika kituo kikubwa cha kijeshi ndani ya Yemen
Aug 29, 2021 10:42Askari wasiopungua 30 wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wameangamizwa na wengine 60 wamejeruhiwa katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah dhidi ya kituo kikubwa zaidi ya kijeshi cha muungano huo vamizi huko kusini mwa Yemen.
-
HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao
Aug 29, 2021 10:09Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatavumilia katu kufanyiwa mapatano haki zao za kitaifa na watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao.
-
Wasyria walalamikia hatua ya Marekani kuunga mkono ISIS
Aug 29, 2021 03:26Wasyria kutoka kabila la Shaitat wamefanya maandamano katika Jimbo la Dayr al-Zawr Mashariki kulaani hatua ya Marekani ya kuwakamata watu 300 wa kabila hilo ambalo walikuwa wanakabiliana na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake
Aug 28, 2021 23:18Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.
-
Amir-Abdolanian: Iran inaunga mkono usalama, mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Iraq
Aug 28, 2021 22:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono usalama, mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Iraq.
-
HAMAS: Rais Mahmoud Abbas anatupatia masharti yale yale ya utawala haramu wa Israel
Aug 28, 2021 22:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali misimamo ya Mamhoumd Abbas na kueleza kwamba, Rais huyo wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina akiwa na lengo la kuhitimisha hitilafu za ndani na kukamilisha mpango wa umoja wa kitaifa amekuwa akiipatia harakati hiyo masharti yale yale ya Israel.
-
Iran itafuatilia kisheria na kimataifa kadhia ya makamanda waliouawa shahidi
Aug 28, 2021 11:31Wazari wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wizara yake itafuatilia kisheria na kimataifa kadhia ya makamanda wa muqawama waliouawa shahidi katika hujuma za kigaidi ambao ni Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi Muhandes, Kamanda wa Kikosi cha Hashd Shaabi cha Iraq.
-
Unicef: Israel imeua watoto 9 wa Kipalestina katika miezi miwili ya karibuni
Aug 28, 2021 03:39Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeua watoto 9 wa Kipalestina katika kipindi cha miezi miwili pekee na kujeruhi wengine 556.