-
WHO yatahadharisha kuhusu akiba ya misaada ya matibabu Afghanistan
Aug 27, 2021 22:41Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya kukaribia kumalizika misaada ya matibabu huko Afghanistan.
-
Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi
Aug 27, 2021 22:07Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
-
Yemen: UN inafumbia macho uharamia wa Saudia na washirika wake
Aug 27, 2021 06:46Shirika la Mafuta la Yemen limeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kunyamazia kimya na kufumbia macho uharamia unaoendelea kufanywa na wavamizi wa Yemen wanoongozwa na Saudi Arabia, suala ambalo linazidisha mgogoro wa raia wa nchi hiyo.
-
UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi
Aug 27, 2021 03:33Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu Kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka huu 2021 pekee.
-
Mbunge Mkristo wa Lebanon: Iran ni rafiki yetu; balozi wa Marekani aache uafriti wa kutukwamisha
Aug 26, 2021 22:06Cesar Maalouf, mbunge wa Kikristo katika bunge la Lebanon amesema, Iran si adui wa Lebanon bali ni nchi rafiki; na adui Mzayuni ndiye adui pekee wa Lebanon.
-
Wapalestina waandamana kulaani ushirikiano wa kiusalama kati ya Mamalaka ya Ndani na Israel
Aug 26, 2021 22:06Umati mkubwa wa Wapalestina umeandamana katika mji wa Ramallah ulioko kwenye Ufukwe wa Magharibi mwa Mto Jordan kulaani ushirikiano wa kiusalama uliopo kati ya serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Malengo ya Imarati ya kuvikalia kwa mabavu visiwa vya Yemen
Aug 26, 2021 22:05Ahmed al-Rahwi mwakilishi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen Jumanne wiki hii kwa mara nyingine tena aliutahadharisha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba, nchi hiyo itapewa somo na funzo iwapo haitaondoka katika kisiwa cha Mayyun.
-
Waafghani 90, askari 13 wa US wauawa katika miripuko ya mabomu nje ya uwanja wa ndege wa Kabul, Afghanistan
Aug 26, 2021 22:09Watu wasiopungua 110 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia miripuko miwili ya mabomu iliyotokea nje ya uwanja wa ndege wa Kabul nchini Afghanistan.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Qatar na Misri baada ya Saudi Arabia
Aug 26, 2021 09:15Salim Mubarak Al Shafi balozi wa Qatar mjini Cairo Jumatatu wiki hii alikutana na kufanya mazungumzo na Sameh Hassan Shoukry Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri na akamkabidhi hati yake ya utambulisho.
-
Jumuiya ya OIC yazitaka Algeria na Morocco kufanya mazungumzo baada ya uhusiano wao kuharibika
Aug 26, 2021 03:35Baada ya Algeria kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Morocco, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imezitolea wito nchi hizo wa kufanya mazungumzo baina yao ili kumaliza mzozo na hitilafu zilizoibuka kati yao.