-
HAMAS: Israel inamiliki mabomu ya atomiki, sisi hatupaswi kuwa hata na bunduki ya kujihami?
Aug 26, 2021 03:34Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali jinai za utawala ghasibu wa Israel na kuhoji kwa kuuliza, utawala huo unamiliki mabomu ya nyuklia, sisi hatupaswi kumiliki hata bunduki ya kujihami?
-
Saudi Arabia: Waliopata chanjo za corona za China wanaweza kwenda Hija
Aug 25, 2021 23:16Saudi Arabia imeidhinisha chanjo mbili za corona za China na kutangaza kuwa, Waislamu wote waliochanja chanjo mbili za China yaani Sinopharm na Sinovac wanaweza kwenda nchini humo kwa ajili ya ibada ya Hija.
-
Hamas yasisitiza kuendelezwa mapambano dhidi ya adui Mzayuni
Aug 25, 2021 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza udharura wa kuendeleza mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kutumia suhula na nyenzo zote.
-
Yemen yakosoa Imarati na Israel kukalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun
Aug 25, 2021 08:26Afisa wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema lengo la Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun kilichoko katika Lango Bahari la Mandab kusini mwa Bahari Nyekundu ni kukidhibiti kutokana na nafasi yake muhimu kijiografia.
-
Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut
Aug 25, 2021 03:46Lebanon imefungua mashtaka katika mahakama Kuu ya Uingereza mjini London dhidi ya kampuni moja ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika katika mlipuko wa mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Harakati ya Jihadul-Islami: Iran ni dola kubwa katika ukanda wa Asia Magharibi
Aug 24, 2021 09:13Mkuu wa kitengo cha kisiasa cha Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni dola kubwa la kikanda linaloendea kuwa na nguvu zaidi.
-
Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe
Aug 24, 2021 08:44Mrengo wa Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani Nouri al Maliki umetilia mkazo udharura wa kuharakishwa mchakato wa askari wa Marekani kuondoka nchini humo.
-
UNICEF: Ndani ya kila dakika 10, mtoto anaaga dunia Yemen
Aug 24, 2021 03:31Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ametahadharisha kuhusu hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Yemen kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu na kusema kuwa, mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10.
-
UNICEF: Watoto milioni 10 Afghanistan wanahitaji msaada ili waendelee kubaki hai
Aug 23, 2021 22:18Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF amesema, karibu watoto milioni 10 nchini Afghanistan wanahitaji misaada ya kibinadamu ili waweze kubaki hai.
-
Taliban: Hatutaongeza muda wa siku ya mwisho ya askari wa kigeni kuondoka Afghanistan
Aug 23, 2021 22:17Taliban imetoa onyo kwa Marekani ikisisitiza kuwa, siku ya mwisho iliyoainishwa kwa askari wa nchi hiyo kuondoka Afghanistan ni "mstari mwekundu" kwa kundi hilo na kwamba kurefushwa kwa muda wa zoezi hilo kutakuwa na "matokeo mabaya".