-
Rais wa Lebanon: Mnamo siku zijazo zitasikika habari njema za kuundwa serikali
Aug 23, 2021 22:15Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, ana matumaini kuwa katika siku zijazo zitatangazwa habari njema kuhusu uundwaji wa serikali ya nchi hiyo.
-
Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon
Aug 23, 2021 22:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah Jumapili ya juzi tarehe 22 Agosti alitoa hotuba akizungumzia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa, Marekani imekuwa na nafasi kubwa katika kuchochea mgogoro wa sasa wa Lebanon.
-
Muungano wa Saudia umeiba 85% ya mapato ya mafuta, gesi Yemen
Aug 23, 2021 06:48Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya nchi hiyo maskini, umepora asilimia 85 ya mapato ya mauzo ya mafuta na gesi ya taifa hilo.
-
Sayyid Nasrullah: Tunajivunia kuwa na uadui na Marekani na utawala haramu wa Israel
Aug 23, 2021 03:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, kambi ya muqawama inajivunia na uadu na ubeberu wa Marekani, uadui wa utawala haramu wa Israel na mipango ya utawala huo ghasibu dhidi ya harakati hii.
-
Umoja wa Mataifa wataka kuanzishwa safari maalum za ndege kupeleka misaada Afghanistan
Aug 22, 2021 23:28Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametaka kuanzishwa mara moja kwa daraja maalum la safari za ndege la kuwezesha ndege zilizobeba misaada ya kibinadamu kuingia nchini Afghanistan kwa ajili ya utoaji wa msaada endelevu na bila vizuizi.
-
Askari wa Marekani wawalaghai Waafghani wanaotaka kuondoka Kabul
Aug 22, 2021 23:01Imefichuka kuwa, maafisa usalama wa Marekani walioko katika Uwanja wa Ndege wa Kabul nchini Afghanistan wanawaitisha mlungula Waafghani wanaotaka kuondoka katika mji mkuu huo.
-
UNIFIL yaikosoa Israel kwa kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon
Aug 22, 2021 22:02Hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon wakati wa kuishambulia Syria imekosolewa na Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa huko Lebanon (UNIFIL)
-
Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama
Aug 22, 2021 23:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.
-
Ripoti: Muungano vamizi wa Saudi Arabia wakiuka usitishaji vita mara 339
Aug 22, 2021 06:50Chumba cha Operesheni cha Maafisa wa Jeshi la Yemen kimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia pamoja na mamluki wao umekiuka usitishaji vita nchini Yemen mara 339.
-
Hamas yasema Israel imefanya kosa kubwa, itateketea kwenye moto wa Gaza
Aug 22, 2021 03:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, imelaani vikali mashambulio yaliyofanywa karibuni na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa utawala huo umefanya makosa makubwa ya kimahesabu ambayo yataupelekea kuteketea katika moto mkali uliouwasha wenyewe katika ukanda huo.