-
Radiamali kwa hatua ya Iran ya kutuma mafuta Lebanon
Aug 22, 2021 00:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma meli za mafuta huko Lebanon kufuatia kupamba moto mgogoro wa nishati nchini humo.
-
Wapiganaji wa kujitolea Afghanistan wawasili Panjshir, Makamu wa Rais akataa kujisalimisha kwa Taliban
Aug 21, 2021 08:35Makamu wa Rais wa Afghanistan Amrullah Saleh amesisitiza kuwa, hatajisalimisha kwa utawala wa Taliban.
-
Syria: Mashambulizi ya Israel yana lengo la kuinua juu moyo wa magaidi
Aug 21, 2021 03:10Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Syria imelaani mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na kutangaza kuwa, lengo la hujuma hiyo ni kuinua juu moyo uliofifia na kukosa matumaini wa makundi ya kigaidi.
-
Palestina yakosoa kimya cha walimwengu kwa jinai za Wazayuni
Aug 20, 2021 21:57Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa kwa jinai za kila leo za utawala haramu wa Israel.
-
Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel
Aug 20, 2021 21:56Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Israel vimeripoti kwamba Imarati imeamua kutumia ndege zisizo na rubani za utawala huo katika kusimamia na kulinda usalama wa taasisi na miundomsingi yake.
-
HAMAS: Muamala wa chuki wa Wazayuni ndio sababu halisi ya mizozo Asia Magharibi
Aug 20, 2021 06:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, miamala ya kihasama na chuki ya utawala haramu wa Israel ndio sababu halisi ya kuibuka mizozo na migogoro katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wafanyaziara milioni sita wameshiriki kwenye maombolezo ya Ashura mjini Karbala, Iraq
Aug 20, 2021 03:36Naibu Mkuu wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa mazuwari wapatao milioni sita walishiriki kwenye maombolezo ya Imam Hussein (as) yaliyofanyika katika Siku ya Ashura hapo jana kwenye mji huo mtakatifu.
-
Wapalestina watakiwa wajitokeze kwa wingi katika kumbukumbu ya kuchomwa moto Msikiti wa Al Aqsa
Aug 20, 2021 03:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kukumbuka tukio la kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa.
-
Walebanon wakaribisha hatua ya Hizbullah ya kuagiza mafuta kutoka Iran
Aug 19, 2021 19:36Hotuba ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuhusu safari ya meli za mafuta kutoka Iran zinazoelekea nchini humo imekaribishwa kwa shangwe na wanasiasa na sehemu kubwa ya wananchi wa Lebanon hususan katika mitandao ya kijamii.
-
Al Houthi: Saudi Arabia ijifunze kutokana na kushindwa Marekani huko Afghanistan
Aug 19, 2021 19:36Mjumbe wa ngazi ya juu wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia unapaswa kujifunza na kupata ibra kutokana na tajiriba ya kushindwa na kufeli Marekani huko Afghanistan.