-
Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama
Aug 19, 2021 11:12Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa Siku ya Ashura na kusema, 'kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu)"
-
Rais wa Afghanistan aliyeikimbia nchi yuko Imarati; adaiwa kubeba dola milioni 169
Aug 18, 2021 23:13Rais aliyetoroka nchi yake ya Afghanistan Ashraf Ghani yupo katika nchi Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Hilo limethibitishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni Imarati .
-
Taliban: Imam Hussein AS ndiye aliyejitoa mhanga mkubwa zaidi katika historia ya Uislamu
Aug 18, 2021 22:48Mkuu wa kamati ya utamaduni ya kundi la Taliban amesema, kundi hilo halina mgongano wala uadui na Mashia na akasisitiza kwamba Imam Hussein AS ndiye aliyejitoa mhanga mkubwa zaidi katika historia ya Uislamu.
-
Sayyid Nasrullah afichua njama ya Wamarekani huko Lebanon na Afghanistan
Aug 18, 2021 21:48Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah jioni ya Jumanne iliyopita na katika mfululizo wa hotuba zake za mwezi wa Muharram alizungumzia yanayojiri eneo la Magharib mwa Asia hususan Lebanon na Afghanistan.
-
"Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"
Aug 18, 2021 08:23Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.
-
Nasrallah: Marekani bado ina ujinga na inakariri makosa yake katika eneo
Aug 18, 2021 03:35Kiongozi wa harakati ya Lebanon Hezbullah anasema kushindwa kwa Marekani nchini Afghanistan kunaonyesha ujinga wa wakuu wa Washington na kukosekana mahesabu katika sera zao za kigeni.
-
Kupiga marufuku utawala wa Bahrain maombolezo ya Imam Hussein (a.s); mwendelezo wa kunyanyaswa Waislamu wa Kishia
Aug 17, 2021 22:12Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mwaka huu pia utawala wa kifamilia wa Aal Khalifa nchini Bahrain umepiga marufuku kufanya shughuli zozote zile za Waislamu wa madhehebu ya Kishia za maombolezo ya Muharram na kumbukumbu ya kifo cha Imam Hussein (a.s).
-
OIC yalaani jinai iliyofanywa na wanajeshi wa Israel huko Jenin
Aug 17, 2021 22:10Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani jinai iliyofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwaua shahidi vijana wanne wa Kipalestina katika eneo la Jenen.
-
Nujabaa: Afghanistan ni funzo na somo kubwa kwa vibaraka na waitifaki wa Marekani
Aug 17, 2021 11:25Msemaji wa harakati ya Nujabaa nchini Iraq amesema kuwa wanamapambano wa nchi hiyo hawataruhusu Baghdad ipatwe na hatima kama ile ya Kabul huko Afghanistan na kusisitiza kuwa hali ya sasa ya Afghanistan ni somo na ibra kwa vibaraka na waitifaki wa Marekani.
-
Kuanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya Afghanistan
Aug 17, 2021 06:33Baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti mji mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuudhibiti mji mkuu Kabul baada ya Rais Muhammad Ashraf Ghani kuikimbia nchi, sasa kumeanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya nchi hiyo.