-
Moscow: Madai ya Marekani kwamba imefanikiwa huko Afghanistan ni ndoto tupu
Aug 17, 2021 04:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amesema kuwa madai ya Marekani kwamba imefanikiwa kutimiza malengo yake nchini Afghanistan ni ndoto tupu.
-
Sana'a yasubiri jibu la Umoja wa Mataifa kuhusu mpango mpya wa kumaliza mapigano Yemen
Aug 17, 2021 03:26Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen linasema linasubiri majibu chanya kutoka kwa Umoja wa Mataifa na mjumbe wake mpya wa Yemen, Hans Grundberg, kuhusu mpango uliopendekezwa na Harakati ya Ansarullah kwa ajili ya kusaidia kumaliza vita nchini Yemen.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Bahrain wawakosoa watawala wa ukoo wa Aal Khalifa kwa kuvunjia heshima nembo za kidini
Aug 16, 2021 22:03Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain wamelaani vikali hatua za utawala wa kizazi cha Aal Khalifa wa nchi hiyo za kuvunjia heshima shughuli za kidini na nembo za maombolezo ya mwezi wa Muharram unaokumbusha mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja hatua hizo.
-
Rais Assad wa Syria aalikwa kuhudhuria kikao cha Baghdad cha viongozi wa nchi za eneo
Aug 16, 2021 08:04Duru za habari zimeripoti kuwa serikali ya Iraq imemwalika rais wa Syria kushiriki katika kikao cha viongozi wa nchi jirani na Iraq kitakachofanyika mjini Baghdad.
-
Kuanza kazi serikali mpya ya Syria; na changamoto tofauti na za hapo kabla
Aug 16, 2021 06:48Jumamosi ya tarehe 14 Agosti, Baraza jipya la mawaziri nchini Syria linaloongozwa na Waziri Mkuu Hussein Anrous liliapishwa mbele ya Rais Bashar al-Assad. Uchaguzi wa Rais nchini Syria ulifanyika tarehe 26 Mei na Rais Assad aliibuka na ushindi baada ya kupata asilimia 95 ya kura.
-
Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi
Aug 16, 2021 03:10Askari wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi vijana wanne Wapalestina kwa kuwapiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas: Kukiri kushindwa Israel kunadhihirisha nguvu ya muqawama
Aug 15, 2021 22:06Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukiri kushindwa katika vita vya karibuni huko Ghaza inadhihirisha nguvu iliyonayo wanamapambano wa Palestina.
-
UNICEF: Watoto milioni 11 na laki tatu wa Yemen wanahitajia sana msaada wa kibinadamu
Aug 15, 2021 22:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF Ijumaa lilitoa ripoti likitangaza kwamba hali ya kibinadamu nchini Yemen ni ya maafa na kwamba watoto zaidi ya milioni 11 wa nchi hiyo wanahitaji sana misaada ya kibinadamu ili kuokoa maisha yao.
-
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya HAMAS yataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Gaza
Aug 15, 2021 03:27Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
UNICEF: Watoto milioni 11.3 wa Yemen wanahitajia misaada ya kibinadamu
Aug 15, 2021 03:26Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto milioni 11.3 wa Yemen wanahitajia misaada ya kibinadamu.