-
Mawaziri wa serikali mpya ya Syria waapishwa na kuanza rasmi kazi zao
Aug 15, 2021 03:24Mawaziri wa serikali mpya ya Syria wameapishwa na kuanza rasmi kazi zao.
-
Ripoti: Ubalozi wa Marekani mjini Kabul waamuru wafanyakazi waharibu nyaraka nyeti
Aug 14, 2021 23:35Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Afghanistan umewaamuru wafanyakazi wake waharibu nyaraka na kompyuta nyeti pamoja na nyenzo zingine ambazo zinaweza kutumiwa dhidi ya Marekani, kulingana na vyombo vya habari vya vya nchi hiyo ya Magharibi.
-
Jeshi la Yemen latungua droni ya ujasusi ya Marekani
Aug 14, 2021 07:46Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limetungua droni ya ujasusi ya Marekani katika mkoa wa Ma'rib.
-
Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon
Aug 14, 2021 03:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.
-
Ammar Al Hakim: Wakati umewadia askari wa Marekani kuondoka katika ardhi ya Iraq
Aug 13, 2021 22:20Kiongozi wa Harakati ya Hikma ya Kitaifa ya Iraq amesisitiza kuwa, "wakati umewadia wa kuwa na nchi yenye mamlaka kamili ya ardhi yake kwa kutokuwepo ndani yake askari wowote wa kigeni, na muhimu zaidi ya wote, askari wa Marekani."
-
Kuondolewa ruzuku ya nishati na duru mpya ya malalamiko ya watu wa Lebanon
Aug 13, 2021 19:29Uamuzi wa Gavana wa Benki Kuu ya Lebanon wa kufutilia mbali ruzuku ya nishati, umepelekea watu wa nchi hiyo kuanzisha duru mpya ya malalamiko na maandamano ya mitaani.
-
Washington Post: Kusambaratika haraka Afghanistan ni sehemu ya kufeli kwa Marekani
Aug 13, 2021 09:18Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa, kusambaratika haraka serikali ya Afghanistan mbele ya hujuma na mashambulizi ya kundi la Taliban ni sehemu ya kushindwa na kufeli kwa muda mrefu lakini kwa kimyakimya kwa Marekani.
-
"Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"
Aug 13, 2021 08:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalaani ujenzi wa mpya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Aug 13, 2021 03:20Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelaani vikali mpango mpya wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni hususan kibali cha kujengwa nyumba 2,200 za walowezi wa Kizayuni huko Baytul-Muqaddas na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Israel inajenga kituo cha kijeshi kwenye mpaka wa pamoja wa Saudia na Imarati
Aug 12, 2021 21:55Mtafiti mmoja wa Qatar amefichua kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unajenga kituo cha kijeshi kwenye mpaka wa pamoja wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati.