-
Saudi Arabia, jumba la mateso kwa wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu
Aug 05, 2021 05:45Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International kwa mara nyingine tena imeweka wazi rekodi mbaya na nyeusi ya utawala wa Saudi Arabia katika suala la haki za binadamu.
-
Sana'a yakaribisha mazungumzo na Riyadh kwa ajili ya kuondoa mzingiro na kusitisha vita Yemen
Aug 05, 2021 03:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Sana'a inakaribisha mazungumzo mapya baina yake na Riyadh ili kuondoa mzingiroa na kusitisha vita huko Yemen.
-
Njama za kukaririwa za kutaka kuidhihirisha Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman kuwa si eneo salama; sababu na malengo yake
Aug 04, 2021 22:00Katika siku za hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliripoti habari ya kushambuiwa meli kadhaa katika pwani ya Imarati.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah atahadharisha juu ya kuanza vita vya ndani nchini Lebanon
Aug 04, 2021 02:51Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuhusu njama za maadui za kuitumbukiza nchi hiyo kwenye lindi la vita vya ndani vya wenyewe kwa wenyewe.
-
UN: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina ni kinyume cha sheria
Aug 03, 2021 06:17Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ujenzi unaofanywa na Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ni kinyume cha sheria.
-
Naftali akiri kwamba Israel imeshindwa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 03, 2021 06:15Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa sera za mtangulizi wake Benjamin Netanyahu kuhusiana na Iran zimefeli na akaeleza kwamba serikali iliyotangulia ya Tel Aviv ilipelekea makundi ya muqawama katika eneo kupata uwezo wa kujiwekea akiba ya maelfu ya makombora na maroketi.
-
Ismail Hania achaguliwa tena kuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS
Aug 02, 2021 03:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemchagua tena Ismail Hania kuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama.
-
Saudia itaanza kupokea Waislamu 20,000 wa ndani na nje ya nchi kwa ajili ya Umra
Aug 01, 2021 23:27Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, karibuni hivi nchi hiyo itaanza kupokea idadi maalum ya Waislamu wanaokusudia kwenda nchini humo kutekeleza Hija ndogo ya Umra.
-
Rais wa Afghanistan: Taliban wamezidi kuwa madhalimu na kuzidi kuwa hawana Uislamu kuliko walivyokuwa kabla
Aug 01, 2021 23:27Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amelikosoa vikali kundi la Taliban kutokana na linavyoshupalia vita na akasema: kundi hili limekuwa dhalimu zaidi na la kimamluki zaidi kuliko lilivyokuwa huko nyuma.
-
Judoka mwingine, raia wa Lebanon akataa kupambana na Mzayuni
Aug 01, 2021 03:39Mwanajudo wa Lebanon, Abdullah Miniato ametangaza kujiondoa katika mashindano ya kimataifa ya mchezo wa mixed martial arts (MMA) huko mjini Sophia, Bulgaria, na kwa utaratibu huo anakuwa judoka wa tatu kukwepa kuvaana na hasimu kutoka utawala haramu wa Israel katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020.