-
HAMAS: Marekani inaipa baraka Israel za kuendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina
Aug 01, 2021 00:58Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, uamuzi waserikali ya Marekani wa kuupatia silaha mpya utawala haramu wa Israel maana yake ni kuupa baraka utawala huo ghasibu za kuendeleza hujuma na mashambulio yake dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen
Jul 31, 2021 21:59Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya nchi masikini ya Yemen.
-
Kuendelea mashambulizi ya Daesh huko Iraq katika kufanikisha njama za Wamarekani
Jul 31, 2021 21:56Vyombo vya habari vya Iraq Ijumaa usiku vilitangaza kuwa kundi la kigaidi la Daesh lilishambulia shuguli ya mazishi katika mji wa Yathrib kusini mwa mkoa wa Salahuddin huko kaskazini mwa Iraq. Watu saba wameuawa na wengine 17 wamejeruhiwa katika shambulio hilo la Daesh.
-
Ripoti: Mateka wa kike wa Palestina wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Israel
Jul 31, 2021 03:46Kamati ya Masuala ya Mateka wa Palestina imetangaza kuwa mahabusu na mateka wa kike wa Palestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel wanaendelea kusumbuliwa na ukatili na hali ngumu kupita kiasi.
-
Kamanda wa jeshi la Lebanon: Jeshi liko macho mkabala na hatari ya adui Mzayuni
Jul 30, 2021 22:10Kamanda wa jeshi la Lebanon amesisitiza kuwa vikosi vya jeshi hilo vipo tayari katika maeneo ya mipakani kwa ajili ya kukabiliana na hatari ya utawala wa Israel.
-
Safari ya Qalibaf mjini Damascus; ukurasa mpya wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Iran na Syria
Jul 30, 2021 22:09Katika safari yake ya karibuni nchini Syria, Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran ameonana na kuzungumza na rais, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje na wafanyabiashara wa nchi hiyo.
-
Meli ya Israel yashambuliwa katika pwani ya Oman
Jul 30, 2021 08:07Jeshi la Uingereza limetangaza habari ya kushambuliwa meli ya mizigo ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika pwani ya Oman.
-
Fursa na changamoto zilizoko mbele ya Najib Mikati
Jul 30, 2021 04:06Kufuatia Sad Hariri, Kiongozi wa Chama cha Mustakbal kushindwa kuunda serikali mpya ya Lebanon hata baada ya kupita miezi 9 tokea apewe jukumu hilo, kutokana na kushikilia misimamo yake na kupuuza uwezo wa Rais Michel Aoun, Jumatatu alasiri, Rais Aoun alimpa Najib Mikati ambaye aliungwa mkono kwa kura 72 kati ya kura zote 120 za wabunge wa Lebanon, fursa ya kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Maroketi mawili yapiga karibu na ubalozi wa Marekani, Baghdad
Jul 29, 2021 21:50Ripoti zinasema kuwa maroketi mawili yamepiga eneo la karibu na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad katika eneo lenye ulinzi mkubwa la Green Zone.
-
Yediot Ahronot: Mpango wa kuanzisha uhusiano na Wazayuni umefeli kufuatia “kususiwa kimichezo” Israel
Jul 29, 2021 08:32Gazeti mashuhuri la Kizayuni la Yediot Ahronot limekiri katika ripoti yake kwamba, mchakato wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel umegonga mwamba kutokana na wimbi la wanamichezo wa Kiislamu na Kiarabu kukataa kucheza na wanamichezo wa Kizayuni wanapopangwa nao katika mashindano yanayoendelea hivi sasa ya Olimpiki ya Tokyo 2020.