-
Al Houthi: Kumpenda na kumfuata Imam Ali bin Abi Twalib ndiyo njia ya uokovu wa Umma mbele ya njama za maadui
Jul 29, 2021 03:36Katibu Mkuu wa Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa kumpenda na kumfuata wasii wa Mtume Muhammad (saw), Imam Ali bin Abi Twalib (as) ndiyo njia ya uokovu na kujikwamua katika makucha ya mabeberu.
-
Marekani yawawekea vikwazo shakhsia 8 na taasisi 10 za Syria
Jul 29, 2021 03:08Katika kuendelea hatua za uhasama za Washington dhidi ya Syria, jana Wizara ya Fedha ya Marekani iliwawekea vikwazo shakhsia 8 na taasisi 10 za nchi hiyo.
-
Radiamali tofauti za maafisa na makundi ya Iraq kuhusu taarifa ya pamoja ya al-Kadhimi na Biden
Jul 28, 2021 03:53Rais Joe Biden wa Marekani na Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq wametoa taarifa mwishoni mwa duru ya nne ya mazungumzo ya kistratijia nya nchi mbili ambapo wamesema kuwa wameafikiana juu ya kufikia kikomo uwepo wa askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
-
Wazayuni wakasirika kwa "kususiwa kimichezo" katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020
Jul 27, 2021 22:55Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimetangaza kuwa kususiwa wanamichezo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020 kumewakasirisha na kuwashtusha viongozi wa utawala huo haramu.
-
HRW: Israel ilitenda jinai za kivita katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza
Jul 27, 2021 21:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mashambulio yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza yalifikia kiwango cha jinai za kivita.
-
Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa
Jul 27, 2021 10:40Walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel leo wameuvamia tena msikiti wa Al Aqsa katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).
-
Makundi ya Mashia Iraq yakaribisha makubaliano ya kuondolewa askari wa Marekani nchini humo
Jul 27, 2021 10:38Mirengo miwili ya Al Fat-h na An-Nasr pamoja na harakati ya Hekima ya Kitaifa na ile ya Sadr nchini Iraq zimekaribisha juhudi za timu ya mazungumzo ya nchi hiyo zilizowezesha kufikiwa makubaliano na Marekani ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq.
-
Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini
Jul 27, 2021 02:52Rais wa Syria amesisitiza kuwa Damascus inafanya jitihada kuandaa mazingita ya kurejea wakimbizi nchini.
-
Najib Mikati apewa jukumu la kunda serikali nchini Lebanon
Jul 26, 2021 22:02Najib Mikati mfanyabiashara tajiri wa Lebanon amepata wingi wa kura za Wabunge na hivyo kuidhinishwa kubeba jukumu la Uwaziri Mkuu na kuunda serikali ya nchi hiyo.
-
HAMAS: Kuishambulia Gaza kwa mabomu, jaribio lililofeli la adui
Jul 26, 2021 07:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeashiria mashambulio ya usiku wa kuamkia leo ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hujuma hiyo ya anga ni jaribio lililofeli la utawala wa Kizayuni la kujaribu kuonesha una nguvu.