-
HAMAS: Kuishambulia Gaza kwa mabomu, jaribio lililofeli la adui
Jul 26, 2021 07:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeashiria mashambulio ya usiku wa kuamkia leo ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hujuma hiyo ya anga ni jaribio lililofeli la utawala wa Kizayuni la kujaribu kuonesha una nguvu.
-
Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani
Jul 26, 2021 03:23Duru ya nne ya mazungumzo kati ya Marekani na Iraq ilianza siku ya Ijumaa ya tarehe 23 Julai mjini Washington, Marekani. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein na Qassem Al Aa'raji, Mshauri wa Usalama wa Taifa ndio wanaoiwakilisha nchi yao katika mazungumzo hayo.
-
Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani
Jul 25, 2021 22:08Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa Baghdad haiwahitaji wanajeshi wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kundi la Daesh.
-
New York Times: Marekani haina nia ya kuwaondoa askari wake Iraq
Jul 25, 2021 03:18Gazeti la New York Times limeeleza katika ripoti kuhusiana na safari anayotazamia kufanya Waziri Mkuu wa Iraq mjini Washington hivi karibuni, kwamba Marekani haina nia ya kuwaondoa askari wake walioko nchini humo.
-
Katibu Mkuu wa GCC atoa porojo jingine jipya dhidi ya Iran ili kuzifurahisha tawala za Saudia na Imarati
Jul 25, 2021 03:00Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi GCC, katika kile kinachoonekana kama nia ya kuzifurahisha tawala za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ameituhumu tena Iran kuwa inavuruga uthabiti na kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Kiarabu.
-
Serikali ya Iraq yawatia mbaroni magaidi waliohusika na shambulio la umwagaji damu katika kiunga cha Sadr
Jul 24, 2021 22:28Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi amesema, vyombo vya usalama vimewagundua na kuwatia mbaroni watu waliohusika na shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye kitongoji cha Sadr katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
HAMAS yalaani kuidhinishwa Israel kuwa mwanachama mtazamaji wa AU
Jul 24, 2021 20:51Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa umoja huo.
-
Mpango wa kuanzisha utawala wa ndani Syria, njama ya wapinzani wa serikali ya Damascus
Jul 24, 2021 20:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, kile kinachoitwa "serikali ya mamkala ya kujiendeshea mambo yake" ni mpango wa kutaka kuiodhoofisha nchi hiyo.
-
Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa
Jul 24, 2021 07:25Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.
-
Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani
Jul 24, 2021 03:37Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.