-
Mpango wa kuanzisha utawala wa ndani Syria, njama ya wapinzani wa serikali ya Damascus
Jul 24, 2021 20:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, kile kinachoitwa "serikali ya mamkala ya kujiendeshea mambo yake" ni mpango wa kutaka kuiodhoofisha nchi hiyo.
-
Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa
Jul 24, 2021 07:25Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.
-
Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani
Jul 24, 2021 03:37Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon
Jul 23, 2021 07:13Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, shambulio la karibuni la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria ni uchokozi na uvamizi wa waziwazi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na ardhi ya Lebanon.
-
Mkuu wa zamani wa haki za binadamu wa UN kuongoza uchunguzi wa jinai za Israel
Jul 23, 2021 03:22Baraza la Haki za Binadamu limemteua Navi Pillay, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kuongoza kamati ya kimataifa ya watu watatu ya kuchunguza jinai za kivita za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Israel yawatia mbaroni wanachama zaidi ya 120 wa Hamas katika Ukingo wa Magharibi
Jul 22, 2021 22:03Televisheni moja ya Kizayuni inayotangaza kwa lugha ya Kiibrania imetangaza kuwa Israel miezi miwili iliyopita iliwatia mbaroni wanachama zaidi ya 122 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Qatar yatoa msaada kwa Yemen kusaidia ili upatikanaji wa chakula
Jul 22, 2021 22:02Amir wa Qatar ameagiza kutolewa dola milioni mia moja ili kusaidia usalama wa chakula huko Yemen.
-
Kutorekebishika ushindani wa kiuhasama wa Imarati na Saudi Arabia katika kivuli cha njama za Wazayuni
Jul 22, 2021 21:59Katika siku za hivi karibuni hitilafu na mivutano baina ya Saudi Arabia na Imarati kuhusiana na baadhi ya masuala ya kieneo zimeshadidi na kudhihirika wazi kiasi kwamba, vyombo na nyenzo za kipropaganda za nchi mbili hizo zimekuwa zikitangaza wazi hitilafu hizo.
-
Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan
Jul 22, 2021 07:00Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.
-
Baada ya kushindwa njama zake, Marekani sasa yadai dunia nzima inataka kukomeshwa vita Yemen
Jul 22, 2021 06:36Mwakilishi wa Marekani katika masuala ya Yemen amedai kuwa nchi zote duniani, za kieneo na kimataifa, zinahimiza kukomeshwa vita nchini Yemen, na kwamba msimamo kama huo wa kuziunganisha kiasi hicho nchi zote duniani, haujawahi kutokea.