-
UN yalaani shambulio la kigaidi katika kitongoji cha Sadr, Baghdad, Iraq
Jul 22, 2021 03:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulio la kigaidi lililofanywa na genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika kitongoji cha Sadr, mashariki mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Wito wa kufanyika maandamano dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudia, majeshi yamiminwa mitaani
Jul 21, 2021 21:59Wanaharakati wa masuala ya kijamii nchini Saudi Arabia wametoa wito kwa wananchi kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga na kulalamikia hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa na dhulma zinazofanywa na utawala wa Aal Saud kwa wakosoaji na wanaharakati wa haki za binadamu na uhuru wa kiraia.
-
Ripoti: Muungano vamizi wa Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 166
Jul 21, 2021 07:27Chumba cha Operesheni cha Maafisa wa Jeshi la Yemen kimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia pamoja na mamluki wao umekiuka usitishaji vita huko al-Hudaydah mara 166.
-
A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad
Jul 21, 2021 03:23Katibu Mkuu wa harakati ya A'saaib Ahlil-Haq ameashiria njama za Marekani za kutaka kuliimarisha genge la DAESH(ISIS) nchini Iraq na akasema: katika kufanikisha jambo hilo, Washington inasaidiwa na mashirika ya intelijensia ya Israel na nchi za Kiarabu.
-
Onyo la mwisho la muqawama wa Palestina dhidi ya Israe: Msivuke mistari yetu myekundu
Jul 20, 2021 21:59Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na hujuma na uvamizi wake dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa na Baitul-Muqaddas.
-
Malengo ya Wazayuni kuanzisha wimbi jipya la hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Jul 20, 2021 21:56Wazayuni wenye misimamo mikali na walowezi wa Kiyahudi huku wakiwa wanasaidiwa na wanajeshi na polisi ya utawala haramu wa Israel, siku ya Jumapili walivamia tena Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
Al Azhar ya Misri yalaani mlipuko wa kigaidi katika kitongoji cha Sadr huko Iraq
Jul 20, 2021 06:45Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kimelaani mlipuko wa kigaidi uliotokea jana katika kitongoiji cha Sadr huko Iraq sambamba na kuwadia Sikukuu ya Idul Adhaa na Siku ya Arafa.
-
OIC, nchi za Kiislamu zinalaani uchokozi wa walowezi wa Israeli dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Jul 20, 2021 04:57Jumuiya ya la Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), mataifa ya Kiislamu na harakati za mapambano ya ukombozi wa Palestina wamelaani vikali hatua ya vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israei ya kuvunjia heshima viwanja vya Msikiti wa al-Aqsa huko Mashariki la al-Quds inayokaliwa kwa mabavu, na kuwaruhusu walowezi wenye itikadi kali kuwashambulia Waislamu waliokuwa wakifanya ibada katika eneo hilo tukufu.
-
Jihad Islami: Tutailinda al Aqsa kwa nguvu zote
Jul 20, 2021 03:12Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetoa tamko kuhusu hujuma iliyofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika Siku ya Arafa na kutangaza kuwa, vita vya Panga la Quds bado havijaisha na taifa la Palestina liko tayari kulinda eneo hilo takatifu.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na harakati za kigaidi
Jul 20, 2021 02:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na hakati za kigaidi nchini humo.