-
Ansarullah: Inasikitisha kuona Saudia ikiwazuia Waislamu kutekeleza ibada ya Hija
Jul 19, 2021 22:28Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema inasikitisha kuona Saudi Arabia ikiwazuia Waislamu kutoka maeneo mengine ya dunia kutekeleza ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo.
-
Hamu ya wanamgambo wa Taliban ya kutatuliwa matatizo ya Afghanistan kupitia njia ya mazungumzo
Jul 19, 2021 10:14Kundi la wanamgambo wa Taliban limetoa ujumbe kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya Eidul-Haj na kuonyesha hamu na shauku lilionayo ya kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Afghanistan kwa njia ya mazungumzo.
-
Ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni zimeonekana katika anga ya msikiti wa al Aqsa
Jul 19, 2021 07:01Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, ndege zisizo na rubani za Israel zimeonekana katika anga ya msikiti mtakatifu wa al Aqsa.
-
Jihadul-Islami: Tutawapindua majenerali wa Israel kwa mashambulio ya muqawama
Jul 19, 2021 03:26Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unalitumia suala la kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu kutekeleza sera yake ya kuiyahudisha Quds na kufuta malengo matukufu ya Palestina.
-
Sababu za maandamano ya Wapalestina wa Ramallah dhidi ya Serikali ya Mamlaka ya Ndani
Jul 18, 2021 22:04Wananchi wa Palestina wamefanya maandamano ya upinzani katika mji wa Ramallah, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wakitaka kuvunjwa Serikali ya Mamlaka ya Ndani na kung'atuka madarakani rais wake Mahmoud Abbas.
-
Hamas yatoa wito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa Al Aqsa
Jul 18, 2021 20:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetoa wito kwa umma wa Palestina kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya Itikafu ndani ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa lengo la kulinda eneo hilo takatifu ambalo linakabiliwa na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaopata himya ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Mataifa ya Kiarabu yakosolewa kwa kunyamazia kimya matukio ya kuhujumiwa msikiti wa al-Aqswa
Jul 18, 2021 06:54Sheikh Ikrima Sabri, Khatibu wa Masjidul-Aqswa amekosoa vikali kimya cha mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na matukio ya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa.
-
Zaidi ya walowezi 400 wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jul 18, 2021 06:53Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Wanaharakati wa Saudia kufanya maandamano ya kupinga serikali Siku ya Arafa
Jul 18, 2021 03:45Wanaharakati wa Saudi Arabia wamepanga kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya utawala wa Al Saud Siku ya Arafa.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yataka kukomeshwa hujuma dhidi ya Masjidul-Aqswa
Jul 17, 2021 22:36Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imeutaka Umma wa Kiislamu na watu huru duniani kuchukua hatua za kuzuia hujuma na mashambulio ya Wazayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.