-
Wilaya ya al Rahabah huko Yemen yakombolewa baada ya kudhibitiwa kwa masaa 48 tu
Jul 17, 2021 22:36Jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena yameikomboa wilaya ya al Rahabah baada ya kukaliwa kwa mabavu kwa masaa 48 tu.
-
Marekani na baadhi ya tawala za Kiarabu wasababishaji wakuu wa mgogoro wa Lebanon
Jul 17, 2021 22:05Kufuatia kujiuzulu Saad Hariri, waziri mkuu aliyekuwa amepewa jukumu la kuunda serikali mpya ya Lebanon, baadhi ya makundi yenye mielekeo ya Kimagharibi ya nchi hiyo na ambayo yanaungwa mkono kifedha na kipropaganda na Saudi Arabia pamoja na Imarati, kama ilivyokuwa imepangwa awali, yamekituhumu chama cha Hizbullah na mrengo wa mapambano kuwa ndio waliovuruga juhudi za kubuniwa serikali hiyo.
-
Wakimbizi wa Palestina waongezeka kwa asilimia 70 mwaka huu wa 2021
Jul 17, 2021 08:11Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema katika ripoti yake kuwa, idadi ya Wapalestina wanaolazimishwa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kwenye makazi yao imeongezeka kwa asilimia 70 mwaka huu wa 2021.
-
Bashar al Assad aapishwa rasmi kuwa Rais wa Syria
Jul 17, 2021 07:57Bashar al Assad leo amekula kiapo rasmi cha kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka miaka 7 mingine.
-
Jihadul-Islami: Walowezi wa Kizayuni ni walengwa halali wa mashambulio ya wanamuqawama
Jul 17, 2021 03:43Msemaji wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kuhusu haki halali na ya kisheria ya kujihami waliyonayo Wapalestina na akabainisha kwamba, walowezi wa Kizayuni ni walengwa halali kisheria wa muqawama.
-
Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon
Jul 17, 2021 03:17Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.
-
Vigezo na umuhimu wa Oparesheni ya Al-Nasr Al-Mubin kati mwa Yemen
Jul 16, 2021 08:55Jeshi la Yemen likishirikiana na Kamati za Kujitolea za Wananchi limeweza kutekeleza kwa mafanikio oparesheni ya Al-Nasr Al-Mubin katika mkoa wa Al-Baidha (Al Bayda).
-
Wazayuni wazidi kuharibu athari za kihistoria za Wapalestina
Jul 16, 2021 07:20Viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameanza kuchukua hatua za kuvunja makaburi makubwa zaidi ya watu wa Canaan yaliyoko katika eneo la al Khidhr la kusini mwa Bayt al Lahm.
-
Lebanon yakumbwa na maandamano baada ya Saad Hariri kujitoa katika jukumu la kuunda serikali
Jul 16, 2021 03:42Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Lebanon masaa machache tu baada ya Waziri Mkuu Saad Hariri kutangaza kujiuzulu na kuacha jukumu alilopatiwa na kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen
Jul 16, 2021 03:41Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maenro mbalimbali ya Yemen.