-
Kamati ya Palestina ya Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Imarati, Tel Aviv
Jul 15, 2021 23:58Kamati ya Kuunga Mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya Wananchi wa Palestina ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kufungua ubalozi wake katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Harakati za ukombozi Palestina zailaani Imarati kwa kufungua ubalozi Tel Aviv
Jul 15, 2021 06:56Harakati za ukombozi wa Palestina zimeilaani nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kufungua ubalozi huko Tel Aviv, wiki chache tu baada ya Israeli kuuwa zaidi ya Wapalestina 255 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Bin Salman atekeleza njama ya kumuangamiza mrithi wa zamani wa kiti cha ufalme huku dunia ikiwa imekaa kimya
Jul 15, 2021 06:23Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na habari za kuzorota hali ya haki za binadamu na kuongezeka mateso katika jela za kuogofya za utawala wa Saudi Arabia, moja ikiwa inahusiana na mateso makali dhidi ya Mohammad Bin Nayef, mrithi wa zamani wa ufame wa Saudia.
-
Licha ya kauli kali zitolewazo dhidi ya Wazayuni, marais wa Uturuki na Israel wataka kustawishwa uhusiano
Jul 15, 2021 03:42Chama tawala nchini Uturuki cha Uadilifu na Maendeleo AKP kimesema, Uturuki na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimekubaliana kuchukua hatua ili kustawisha uhusiano wao wenye mivutano kufuatia mazungumzo yaliyofanywa kwa njia ya simu kati ya marais wa pande hizo mbili.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah ina makombora 150,000 yafikayo umbali wa kilomita 700
Jul 15, 2021 03:18Vyombo vya habari utawala wa Kizayuni vimekiri kuhusu hatua kubwa iliyopiga harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika sekta ya makombora na kueleza kwamba Hizbullah ina makombora laki moja na nusu na endapo yatatokea makabiliano katika siku za usoni itakuwa na uwezo wa kufyatua makombora elfu moja hadi elfu tatu kwa siku kuelekea Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Hariri amkabidhi Rais Aoun orodha ya aliowapendekeza kuunda serikali mpya ya Lebanon
Jul 14, 2021 23:03Waziri Mkuu wa Lebanon aliyepewa jukumu la kuunda serikali amekabidhi kwa Rais Michel Aoun orodha ya majina ya watu aliowapendekeza kuunda baraza lake la mawaziri.
-
Facebook yafungia shirika kubwa zaidi la habari la Palestina
Jul 14, 2021 06:52Kampuni ya Facebook ya Kimarekani imefunga ukurasa wa shirika kubwa zaidi la habari la Palestina.
-
Salamu za rambirambi za Papa Francis kwa watu wa Iraq kufuatia ajali ya moto
Jul 14, 2021 03:02Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, ambalo linajulikana pia kama Kanisa Katoliki la Roma, amewatumia salamu za rambirambi wahanga wa ajali ya moto ambayo imetokea karibuni katika Hospitali ya al-Hussein nchini Iraq.
-
Duru za kuaminika: Muhammad bin Nayef mahututi, anaweza kufa wakati wowote
Jul 13, 2021 23:37Mrithi wa zamani wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Nayef anayeshikiliwa mahabusu ameripotiwa kuwa katika hali mbaya na mahututi na kwamba anaweza kufariki dunia wakati wowote,
-
Hukumu za kifo nchini Bahrain zaongezeka mara 600 tangu 2011
Jul 13, 2021 23:36Utekelezaji wa adhabu ya kifo nchini Bahrain umeongezeka sana katika muongo mmoja uliopita, haswa tangu kulipoanza mwamko wa wananchi katika nchi za Kiarabu mwaka 2011.