-
Ishara nne za kupamba moto hitilafu kati ya Saudi Arabia na Imarati
Jul 13, 2021 04:41Saudi Arabia na Imarati ambazo katika muongo mmoja uliopita takribani zimekuwa katika mkondo mmoja kuhusiana na siasa za eneo la Asia Magharibi, hivi karibuni tumeshuhudia kushtadi na kupamba moto hitilafu na mzozo katika uhusiano wa pande mbili.
-
Watu 54 wapoteza maisha baada ya hospitali ya Imam Hussein AS nchini Iraq kuteketea moto
Jul 13, 2021 03:10Wakuu wa Idara ya Afya katika Mkoa wa Dhi Qar nchini Iraq wametangaza kuwa watu wasiopungua 54 wamepoteza maisha kufuata mkasa wa moto katika kitengo cha wagonjwa wa corona katika Hospitali ya Imam Hussein as mjini Nasiriya.
-
Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel
Jul 12, 2021 22:06Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amewapongeza wanamapambano wa Palestina wanaojihami kwa silaha mbele ya jinai za Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel.
-
Kuongezeka maradhi ya saratani kwa watoto wa Yemen, silaha za Saudia zatajwa kuwa sababu
Jul 12, 2021 08:16Utumiaji wa Saudia Arabia na washirika wake wa silaha zilizopigwa marufuku dhidi ya watu wa Yemen umetajwa kuwa ndiyo sababu ya ongezeko la maradhi ya saratani kati ya watoto wa Yemen.
-
HRW: Watetezi wa haki za wanawake wanasumbuliwa na mateso katika jela za Saudia
Jul 12, 2021 05:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limefichua kuwa, limepokea ripoti kuhusu mateso na unyanyasaji unaofanyika katika jela za Saudi Arabia dhidi ya wanaharakati wa masuala ya haki za binadamu.
-
Takwimu za jinai za muungano wa Saudia katika uvamizi wa Yemen zawekwa hadharani
Jul 12, 2021 03:27Kituo cha sheria mjini Sana'a kimetoa takwimu za jinai zilizofanywa na muungano wa Saudi Arabia katika kipindi cha siku 2,300 za uvamizi wake nchini Yemen.
-
Az-Zahar: Ilicho tayari kutekeleza HAMAS ni kubadilishana "mateka kwa mateka" tu
Jul 12, 2021 03:01Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, katika faili la ubadilishanaji wa mateka, harakati hiyo haitakubali sharti jengine lolote lile na kwamba mateka wa utawala wa Kizayuni wa Israel wataachiwa huru ikiwa tu mateka Wapalestina pia wataachiliwa.
-
Umuhimu wa ushindi wa jeshi la Yemen katika mapambano ya mkoa wa al Bayda'
Jul 11, 2021 23:40Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na kamati za kujitolea za wananchi wa nchi hiyo maarufu kuwa jina la Ansarullah limepata ushindi mkubwa na muhimu dhidi ya magaidi wa al Qaida na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kwenye mkoa wa al Bayda'.
-
Sultan Haitham awasili Saudia katika safari ya kwanza ya kiongozi wa Oman baada ya kupita zaidi ya miaka 10
Jul 11, 2021 23:10Sultan Haitham bin Tarik wa Oman amefanya safari ya kwanza nje ya nchi kwa kuitembelea Saudi Arabia, ikiwa pia ni mara ya kwanza kufanywa na kiongozi mkuu wa Oman huko Riyadh baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja.
-
Mahmoud Abbas atoa masharti 14 ya kurudi tena kwenye mazungumzo ya mapatano na Israel
Jul 11, 2021 09:06Baadhi ya duru za Kizayuni zimetangaza kuwa Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametoa masharti 14 ambayo ametaka yatekelezwe ili awe tayari kurudi tena kwenye meza ya mazungumzo ya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.