-
HAMAS: Tuna uhusiano mzuri sana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 05, 2021 23:25Osama Hamdan, mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo ina uhusiano mzuri na imara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Iraq: Hatutaruhusu kuenea ugaidi na misimamo ya kufurutu ada kwa jina la dini
Mar 05, 2021 23:25Rais Barham Salih wa Iraq amesisitiza kuwa, nchi yake itaendeleza vita na mapambano dhidi ya ugaidi na misimamo ya kufurutu ada.
-
Al-Wefaq: Mpango wa Bahrain wa kuunda muungano dhidi ya Iran ni usaliti
Mar 05, 2021 23:24Harakati ya Kitaifa ya al-Wefaq ya nchini Bahrain imekosoa vikali mpango wa utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo wa kuungana na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala haramu wa Israel kubuni eti muungano dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni usaliti.
-
Papa Francis awasili Baghdad, Iraq katika safari yake ya kihistoria
Mar 05, 2021 09:50Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewasili Baghdad mji mkuu wa Iraq katika ziara yake ya kihistoria ya siku tatu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Yemen lashambulia tena shirika la mafuta la Saudia ARAMCO
Mar 04, 2021 09:45Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen leo Alkhamisi ametangaza habari ya kufanyika shambulio jingine katika taasisi za mafuta za Saudi Arabia, ARAMCO.
-
Naim Qassem: Marekani na Israel wanajua, Hizbullah itajibu mapigo
Mar 04, 2021 02:55Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel zinajua vyema kwamba uamuzi madhubuti wa harakati hiyo wa kujibu mapigo na uchokozi wa aina yoyote hauwezi kubadilika.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Mgogoro wa sasa nchini ndio mbaya zaidi wa binadamu katika zama za sasa
Mar 04, 2021 02:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesem kuwa, hali ya sasa ya nchi hiyo inaashiria maafa mabaya zaidi ya binadamu ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika zama za sasa.
-
ICC yaanza kuchunguza jinai za kivita za Israel huko Palestina
Mar 04, 2021 02:14Mwendesha Mashtaka wa Makakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema kuwa mahakama hiyo imeanza uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Palestina: Silaha za Israel zimetumika kuua Waislamu na wapinzani wa mapinduzi Myanmar
Mar 04, 2021 00:45Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeituhumu Israel kuwa inauuzia silaha utawala wa Myanmar ambazo zimetumika kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya na vilevile kuua wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo, licha ya marufuku ya kimataifa ya kuiuzia silaha nchi hiyo.
-
Syria yatuma barua mbili kwa Baraza la Usalama katika kipindi cha masaa 72
Mar 04, 2021 00:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua mbili katika kipindi cha masaa 72 kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulalamikia hujuma dhidi ya mji wa Damascus.