-
Askari watatu wa Marekani wauawa Iraq katika shambulio dhidi ya kituo cha anga cha Ainul-Asad
Mar 03, 2021 10:17Vyombo vya habari vyenye mfungamano na makundi ya muqawama ya Iraq vimetangaza kuwa, askari watatu wa Marekani wameuawa katika shambulio dhidi ya kituo cha anga cha Ainul-Asad kilichoko mkoani Al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Gantz ahofia hatua ya mahakama ya ICC dhidi ya maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 03, 2021 10:03Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema ana wasiwasi juu ya hatua inayoweza kuchukiuliwa na Mahakama ya Kimataifa Jinai ICC dhidi ya maafisa wa utawala huo na akaongeza kuwa, upo uwezekano wa mahakama ya The Hague kuwafuatilia kisheria mamia ya maafisa wa Israel katika faili la jinai za kivita dhidi ya Palestina.
-
Makundi ya Kipalestina yasisitiza kufanyika duru ya pili ya mazungumzo ya kitaifa huko Cairo
Mar 03, 2021 04:31Makundi ya Kipalestina yamesisitiza juu ya udharura wa kufanyika duru ya pili ya mazungumzo ya kitaifa huko Cairo, Misri kama ilivyopangwa.
-
Yemen: Hakuna mpango wowote wa amani uliopendekezwa kwa wakati huu
Mar 03, 2021 00:52Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema, hadi wakati huu hakuna mpango wowote wa suluhu na amani uliopendekezwa na nchi zingine na hakuna mpango wowote miongoni mwa iliyopendekezwa na serikali ya Sana'a uliokubaliwa.
-
Saudi Arabia: Chanjo ya corona ni sharti la kufanya ibada ya Hija mwaka huu
Mar 02, 2021 08:56Waziri wa Afya wa Saudi Arabia ametangaza kuwa, kupata chanjo ya virusi vya corona ni sharti muhimu kwa watu wote wanaoazimia kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Bunge la Ulaya latahadharisha kuhusu njama za Israel za kutwaa Ukingo wa Magharibi
Mar 02, 2021 07:12Wabunge wa Bunge la nchi 22 za Ulaya wameutaka Umoja wa Ulaya kuzuia mikakati ya utawala ghasibu wa Israel ya kutaka kulikalia kwa mabavu na kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi huko Palestina.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kijasusi ya Saudi Arabia
Mar 02, 2021 04:19Jeshi la Yemen limetangaza kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Saudi Arabia wakati ikiwa katika oparesheni ya kijasusi nchini humo.
-
Yemen: Umoja wa Mataifa utekeleze jukumu lake la kulinda raia
Mar 01, 2021 23:15Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amesema: "Umoja wa Mataifa unapaswa kuchukua hatua ya kuzishinikiza nchi ambazo zimeivamia Yemen ili ziliende maisha ya raia."
-
Msimamo wa Rais wa Ashraf Ghani kuhusu kutokuwa na uhusiano vita vya Afghanistan na mafundisho ya Uislamu
Mar 01, 2021 23:12Rais wa Afghanistan amesema kuwa, vita vya nchi hiyo havina uhusiano wowote na Uislamu, haki na ubinadamu.
-
Hamas: Uvamizi dhidi ya Syria ni ishara ya vitendo vya dhulma vya Israel
Mar 01, 2021 09:20Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, uvamizi wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni katika mji mkuu wa Syria Damascus ni ishara ya vitendo vya dhulma na uonevu vya Wazayuni.