-
Mabilioni ya dola yapotea katika vita vya Marekani huko Afghanistan
Mar 01, 2021 08:44Wasimamizi wa serikali ya Marekani wametoa ripoti na kukiri juu ya kupotea mabilioni ya dola fedha zilizotumika katika vita vya miaka 20 vya nchi hiyo huko Afghanistan.
-
Answaarullah: Saudia acheni kuishambulia miji ya Yemen ili nasi tusiishambulie miji yenu
Mar 01, 2021 03:20Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, harakati hiyo itaendelea kuishambulia miji na maeneo ya Saudi Arabia maadamu uko wa Aal Saud unaendelea kuishambulia miji ya Yemen.
-
Bin Salman na jinamizi la Khashoggi
Feb 28, 2021 23:05Serikali ya Marekani imechapisha baadhi ya nyaraka za siri zinazohusiana na mauaji ya kinyama ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa Saudi Arabia aliyekuwa akiishi Marekani na kutangaza kuwa jinai hiyo ilitekelezwa kwa amri ya moja kwa moja ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia.
-
Oxfam yaitaka UK iache kuiuzia Saudia silaha baada ya ripoti ya mauaji ya Khashoggi
Feb 28, 2021 22:50Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limeitaka Uingereza isimamishe mauzo ya silaha zake kwa Saudi Arabia, baada ya ripoti ya kiintelijensia ya Marekani kusema Mohammad Bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ndiye aliyetoa amri ya kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal-Saud.
-
Mfalme wa Jordan afanya mkutano wa siri na Waziri wa Vita wa Israel
Feb 28, 2021 09:54Mfalme Abdallah wa Pili wa Jordan amekutana kwa siri na kificho na Waziri wa Masuala ya Kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benny Gantz nchini Jordan.
-
Mji mkuu wa Saudia, Riyadh washambuliwa kwa kombora,milipuko yasikika
Feb 28, 2021 01:12Muungano wa kivita wa Saudia, unaotekeleza hujuma dhidi ya Yemen, umedai kuwa umetungua kombora kabla halijatua katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh. Baadhi ya duru zimesema milipuko kadhaa imesikika katika mji huo.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Iraq wajadili njia za kupanua ushirikiano
Feb 27, 2021 23:52Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamejadili masuala mbalimbali katika mazungumzo yao hapa mjini Tehran likiwemo suala la njia za kupanua uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili.
-
HRW: Jeshi la Cameroon limehusika katika matukio ya mateso na mauaji dhidi ya raia
Feb 27, 2021 23:51Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Right Watch (HRW) limetangaza kuwa, wanajeshi wa Cameroon wamehusika katika matukio ya mateso na mauaji dhidi ya raia katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Umoja wa Mataifa wataka bin Salman awekewe vikwazo kutokana na kuhusika na mauaji ya Khashoggi
Feb 27, 2021 23:49Ripota maalum wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuwekewa vikwazo Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kutokana na kuhusika kwake katika mauaji ya Jamal Khashoggi aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala huo wa kifamilia.
-
Mufti Mkuu wa Misri aonya dhidi ya mpango wa Israel wa kuiyahudisha Quds
Feb 27, 2021 08:37Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.