-
Doha: Hakuna uhusiano wowote baina ya kutatuliwa mgogoro wa Qatar na kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 05, 2020 00:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, nchi yake ina matumaini na suala la kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Ghuba ya Uajemi, lakini haiwezekani kuyapatia utatuzi matatizo yote kwa muda wa siku moja.
-
Indhari ya WFP: Mamilioni watapoteza maisha Yemen kutokana na njaa
Dec 04, 2020 08:27Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa indhari kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watu wa Yemen kupoteza maisha kutokana na njaa huku Saudi Arabia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu.
-
HAMAS yalaani msimamo wa waziri wa Biashara wa Bahrain dhidi ya Palestina
Dec 04, 2020 04:13Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani matamshi aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Utawala wa Kizayuni na mkakati wa kubadili muundo wa kijamii katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Dec 04, 2020 01:02Ikiwa ni katika jitihada za kubadili muundo wa kijamii huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu; viongozi wa utawala wa Kizayuni wametangaza kuwa mamia ya wahajiri wa Kiyahudi wenye asili ya Ethiopia jana Alhamisi wamewasili Tel Aviv.
-
Baraza Kuu la UN lapitisha maazimio matano kuunga mkono Palestina na miinuko ya Golan ya Syria
Dec 03, 2020 04:03Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio matano ya kuunga mkono Palestina na miinuko ya Golan ya Syria.
-
Mtoto wa Yemen hupoteza maisha kila dakika 10 kutokana na vita vya Saudia
Dec 03, 2020 01:04Wakuu wa Yemen wametoa tahadhari kuhusu hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini humo kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu ambapo 'mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10'.
-
Ayatullah Issa Qassim: Matokeo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatari na ni majanga
Dec 02, 2020 07:39Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain amesema kuwa, matokeo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel yatakuwa hatari na yatasababisha majanga.
-
Wasudani kumshtaki Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi katika mahakama ya ICC
Dec 02, 2020 07:38Mshauri wa masula ya kisheria wa faili la kesi ya vijana 80 wa Kisudani ambao walitumiwa vibaya na kampuni ya Black Shield Security Services ya Imarati na kutumwa katika vita nchini Libya bila ridhaa yao amesema kuwa, wanapanga kuwashtaki maafisa kumi wa Imarati akiwemo Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.
-
Serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva: Suala la wakimbizi kurudi nchini lisifanywe la kisiasa
Dec 01, 2020 22:55Ujumbe wa serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva umesisitiza ulazima wa kutatuliwa suala la wakimbizi raia wa nchi hiyo na kuwawezesha kurejea makwao.
-
Kupamba moto hitilafu za kiintelijensia baina ya Saudia na Imarati katika vita vya Yemen
Dec 01, 2020 06:33Baada ya kuibuka hitilafu za kisiasa na kijeshi baina ya Saudi Arabia na Imarati katika vita huko nchini Yemen, sasa kumezuka mzozo baina ya vituo vya kiintelijensia vya pande mbili hizo.