-
Wamorocco wachoma moto bendera ya Israel katika kuonyesha mshikamano wao na Palestina
Dec 01, 2020 04:05Wananchi wa Morocco wamechoma bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikana na Taifa la Palestina.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mivutano huko al Hudaydah, Yemen
Dec 01, 2020 00:54Mkuu wa Timu ya Uangalizi ya Umoja wa Mataifa huko Yemen ametaka kutekelezwa usitishaji vita katika mji wa al Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kusitishwa mivutano katika eneo hilo.
-
HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya Palestina haina utashi wowote wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Nov 30, 2020 09:28Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Mamlaka ya Ndani ya Palestina kila mara imekuwa ikionyesha ulegevu na ulainifu linapokuja suala la mashirikiano na makubaliano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina
Nov 30, 2020 07:55Mwakilishi wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
-
Mufti wa ISIS: Niliitembelea Saudia mara mbili kukusanya pesa
Nov 30, 2020 03:34Mufti wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) huko kaskazini mwa Iraq amefichua kuwa, aliwahi kutembelea mara mbili Saudi Arabia kwa ajili ya kukusanya fedha za vitendo vya kigaidi vya genge hilo la ukufurishaji.
-
Chuo Kikuu cha al-Azhar: Ulimwengu wa Kiislamu hautasahau jinai za utawala haramu wa Israel
Nov 30, 2020 01:07Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar cha nchini Misri kimetangaza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu katu hautasahau jinai zilizofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.
-
Rais wa Russia asisitizia haki ya Wapalestina ya kupigania ukombozi wao
Nov 30, 2020 01:06Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia ujumbe wa maandishi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Taifa la Palestina na kusisitiza kuwa ni haki ya taifa hilo kupigania ukombozi wake.
-
Malengo ya madai na harakati dhidi ya Iran za pande tatu za Trump, Netanyahu na bin Salman
Nov 28, 2020 22:00Baada ya kubainika kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais nchini Marekani, kumejiri harakati na kutolewa matamshi mbalimbali; na baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza juu ya uwezekano wa Marekani na Israel kuishambulia kijeshi Iran.
-
Mamluki wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana nchini Yemen
Nov 28, 2020 06:58Mapigano makali yanaendelea kusini mwa Yemen, baina ya mamluki wa Saudi Arabia chini ya serikali iliyojiuzulu ya Mansour Hadi na mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), chini ya Baraza la Mpito la Kusini.
-
Uturuki yakosoa mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao Baitul Muqaddas
Nov 28, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas, utadhoofisha uwezekano wa kuundwa nchi ya Palestina.