-
Uturuki yakosoa mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao Baitul Muqaddas
Nov 28, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas, utadhoofisha uwezekano wa kuundwa nchi ya Palestina.
-
Maradona akumbukwa kwa kauli yake: Moyoni mwangu mimi ni Mpalestina
Nov 27, 2020 09:01Wakati dunia inaomboleza kifo cha nguli wa soka duniani Diego Armando Maradona, watu wengi wanatoa heshima zao kwake na kumuenzi kwa msimamo wake wa wazi wa kuunga mkono mapambano ya ukombozi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Wabunge Iraq waitaka serikali ijibu mapigo kwa kutowapatia viza raia wa Imarati
Nov 27, 2020 08:33Baada serikali ya Imarati kusitisha utoaji viza kwa raia wa Iraq wanaotaka kuingia nchini humo, sambamba na kuwaweka kizuizini katika mazingira ya kutatanisha Wairaqi kadhaa wanaoishi nchini humo, wabunge wa Iraq wameitaka serikali yao isitishe kutoa viza kwa raia wa Imarati pia wanaotaka kuingia nchini humo.
-
Kushadidi mizozo na hitilafu katika Baraza la Mawaziri la utawala haramu wa Israel
Nov 27, 2020 06:47Hitilafu na mizozo ndani ya Baraza la Mawaziri la utawala haramu wa Israel zingali zinaongezeka na zinaonekana kuchukua mkondo mpya.
-
Iraq: Tunaiunga mkono Palestina, hatuna mpango wa kupatana na Israel
Nov 27, 2020 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kuliunga mkono taifa la Palestina na kwamba suala la kupatana na Wazayuni halina nafasi kabisa katika siasa za nchi hiyo.
-
Televisheni nyingine ya Israel nayo yaifanyia istihzai na kejeli Imarati
Nov 27, 2020 03:22Kanali moja ya televisheni ya utawala wa Kizayuni imerusha hewani mchezo wa kuigiza wa vichekesho ambao unaukejeli na kuufanyia istihzai Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati.
-
Imarati yasimamisha visa kwa nchi 13 zikiwemo Uturuki, Kenya, Iraq, Iran na Yemen
Nov 26, 2020 07:06Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imesimamisha kutoa visa kwa raia wa nchi 13 nyingi zao za Waislamu zikiwemo Uturuki, Algeria, Pakistan, Iran na Iraq pamoja na nchi za Kiafrika kama Kenya na Somalia.
-
Hatimaye Maher al Akhras aachiwa huru baada ya kugoma kula kwa muda mrefu
Nov 26, 2020 04:49Maher al Akhras mateka wa Kipalestina ambaye alikabiliana pakubwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kugoma kula kwa muda mrefu hatimaye ameaachiwa huru kutoka katika jela za utawala huo.
-
Bashar al Jaafari akosoa wanajeshi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria
Nov 26, 2020 04:36Mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa wanajeshi vamizi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria yakiwemo mafuta na gesi.
-
Muhammad al Houthi: Tutaendelea kuishambulia Saudi Arabia hadi isitishe uvamizi wake Yemen
Nov 26, 2020 04:30Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesisitiza kuwa, kadiri Saudi Arabia inavyoendeleza vita huko Yemen ndivyo mashambulizi dhidi yake pia yanavyoongezeka.