-
UNRWA: Ndoto ya Wapalestina sasa ni kufa kwa heshima kuliko kuishi katika mateso ya jinai za Israel
Sep 26, 2025 07:25Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), Philippe Lazzarini, ametoa onyo kali kuhusu hali ya kibinadamu ya Gaza kiasi kwamba Wapalestina wanafadhilisha kufa kulika kuishi kwa mateso wakati huu utawala katili wa Israel unaendeleza vita vya maangamizi ya kimbari katika eneo hilo.
-
Israel: Tulishindwa kwa fedheha katika shambulio letu la nchini Qatar
Sep 26, 2025 02:59Duru rasmi za utawala wa Kizayuni wa Israel zimemnukuu mmoja wa maafisa wake wa kijeshi walioendesha operesheni ya kigaidi ya kuishambulia Doha, mji mkuu wa Qatar akikiri kwamba, Tel Aviv ilifeli na kushindwa vibaya katika shambulio hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Israel kukiri hadharani kufeli vibaya operesheni hiyo.
-
Hamas: Muqawama utaendelea kuwepo maadamu ardhi za Palestina hazijakombolewa
Sep 26, 2025 02:56Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina imetoa taarifa mpya na kusema kuwa, Muqawama utaendelea kuwepo madamu ardhi za Palestina zinaendelea kukaliwa kwa mabvu na Wazayuni na imelaani vikali matamshi ya Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Jerusalem Post: Vipigo vya Yemen dhidi ya Israel havizuiliki
Sep 25, 2025 08:49Baada ya Israel kushindwa kuzuia shambulio la droni la Yemen katika eneo la kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, gazeti la Jerusalem Post linalotoa nakala nyingi zaidi limekiri kuwa ulinzi wa anga wa Israel hauwezi kukabiliana na vipigo kutoka Yemen.
-
Hofu ya kutiwa mbaroni yazidi kumtia kihoro Netanyahu, ndege yake yakata masafa marefu
Sep 25, 2025 08:49Ndege iliyokuwa imembeba waziri mkuu wa Israel ambaye ni maarufu kwa jina la nduli wa Ghaza na ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kujibu mashtaka ya jinai za kivita anazofanya huko Ghaza, imelazimika kuruka masafa marefu kukwepa anga za nchi kadhaa za Ulaya alipokuwa anaelekea Marekani.
-
Shambulio la droni la Yemen lajeruhi wazayuni 22 Eilat, wawili hali zao mahututi
Sep 25, 2025 03:33Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi watu 22 wakiwemo wawili ambao hali zao ni mahututi. Hayo yanajiri wakati jeshi la kizayuni likiwa lingali linaendeleza vita vyake vya kinyama na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Russia yajibu mapigo kwa Trump baada ya kuiita 'chui wa karatasi', yasema chaguo pekee ni vita
Sep 25, 2025 00:42Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa Russia haina "mbadala" isipokuwa kuendelea kupigana vita, huku ikijibu mapigo kwa mabadiliko ya ghafla yaliyoonyeshwa dhidi ya nchi hiyo na Rais wa Marekani Donald Trump mkabala wa Ukraine kwa kufikia hadi ya kuiita Moscow "chui wa karatasi".
-
Wapalestina wengine 22 wakiwemo watoto wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza
Sep 23, 2025 08:26Israel imefanya mashambulizi zaidi katika Ukanda wa Gaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wengine kadhaa huku jamii ya kimataifa ikishindwa kukomesha mauaji ya kimbari yautawala huo yanayoungwa mkono na Marekani.
-
Jihadul-Islami: US na Magharibi hazitaki vita Ghaza vikomeshwe mpaka makundi yote ya Muqawama yaangamizwe
Sep 23, 2025 03:00Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema, hakuna mapendekezo mapya ya kusitisha vita Ghaza ambayo yamepokelewa hadi sasa na kuongeza kuwa, Marekani na nchi za Magharibi hazitaki kukomesha vita hivyo hadi pale makundi yote ya Muqawama yanayoupinga utawala wa kizayuni wa Israel, -na si Palestina pekee- bali katika eneo lote, yatakapotokomezwa.
-
Serikali ya Israel yagawanyika kuhusu mjibizo wa kutoa kwa nchi za Magharibi zilizoitambua nchi ya Palestina
Sep 22, 2025 23:29Chaneli ya 12 ya televisheni ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, mizozo ndani ya baraza la mawaziri la utawala huo inazidi kuongezeka baada ya mawaziri muhimu kutojumuishwa katika mijadala nyeti kuhusu jinsi ya kutoa mjibizo dhidi ya hatua ya karibuni ya nchi za Magharibi ya kuitambua nchi ya Palestina.