-
Balozi wa Palestina Uingereza: Nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima
Sep 22, 2025 09:17Balozi wa Palestina nchini Uingereza Husam Zomlot amesema, nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima.
-
Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?
Sep 22, 2025 07:50Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Hamas yaitaka jamii ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kuitenga Israel
Sep 22, 2025 04:04Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, imekaribisha hatua ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina na mataifa ya Uingereza, Australia na Kanada, ikieleza kuwa ni hatua muhimu katika kuthibitisha haki ya Wapalestina juu ya ardhi yao.
-
Baada ya kuachiliwa huru kwa huruma za HAMAS, gaidi Mmarekani ajigamba atarejea Ghaza kufanya mauaji zaidi
Sep 21, 2025 23:13Mateka wa zamani wa Israel raia wa Marekani ambaye HAMAS ilimuonea huruma na kumwachilia huru, amethibitisha kivitendo kuwa "Fadhila za punda ni mateke." Ametangaza kuwa anajiandaa kurejea Ghaza kwa sare za kijeshi za Israel kwenda kufanya mauaji zaidi ya kigaidi.
-
Afghanistan: Kambi ya Jeshi la Anga ya Bagram si kitu cha kujadiliwa
Sep 21, 2025 23:12Mkuu wa Majeshi ya kundi la Taliban nchini Afghanistan amesema: "Hatukubali mashinikizo ya Rais wa Marekani kuhusu kuutwaa tena Uwanja wa Ndege wa Bagram (ambao ulikuwa umegeuzwa kuwa kituo muhimu cha kikanda cha Washington kutokana na ukaribu wake na China).
-
Amnesty International imetaka Israel iwekewe vikwazo haraka iwezekanavyo
Sep 21, 2025 07:33Shirika la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Israel vikwazo haraka iwezekanavyo kutokana na vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Yemen: Tunao uwezo na njia za kutoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni
Sep 21, 2025 06:53Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi ya Yemen wametahadharisha kuwa nchi hiyo ya Kiarabu ina uwezo na na njia za kutoa vipigo vikai na kuumiza sana kwa adui Mzayuni iwapo atathubutu kutenda kosa lolote.
-
Netanyahu aiomba US iishinikize Misri ipunguze kujiimarisha kijeshi kwenye Peninsula ya Sinai
Sep 21, 2025 05:40Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameiomba serikali ya Marekani iishinikize Misri ipunguze hatua za kujizatiti kijeshi katika eneo la Peninsula ya Sinai. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa jana Jumamosi na tovuti ya habari ya nchini Marekani ya Axios.
-
Islamabad: Mkataba wa kiulinzi kati ya Pakistan na Saudia unafanana wa Muungano wa kijeshi wa NATO
Sep 21, 2025 05:39Pakistan imesema, makubaliano ya hivi karibuni ya kiulinzi ambayo hayajawahi kushuhudiwa iliyosaini na Saudi Arabia yanalingana na yale yaliyopo katika Muungano wa kijeshi wa Magharibi wa nchi wanachama wa NATO.
-
Ripoti: Qatar inataka Israel iombe radhi ili kuanza tena juhudi za usuluhishi
Sep 21, 2025 03:21Qatar imesema kuwa Israel inapasa kuomba radhi kutokana na mashambulizi iliyotekeleza dhidi ya Doha. Imesema Israel inapasa kuomba radhi kama sharti ili kuweza kuanza tena mazungumzo ya amani ya kuhitimisha vita na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.