-
Je, Israel inakabiliwa na "Hatima ya Afrika Kusini"?
Sep 21, 2025 02:33Tovuti ya Kiingereza ya BBC katikati ya Septemba 2025 katika makala ya kina yenye kichwa cha habari kilichosomeka "Je, Israel Inakabiliwa na 'Hatima ya Afrika Kusini'?" Ilizungumzia suala la kujikariri uzoefu wa Afrika Kusini kwa utawala ghasibu wa Israel.
-
HAMAS: Wazayuni msidhani mtawaona tena mateka wenu
Sep 20, 2025 23:55Wanamapambano wa Al-Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, wamewahakikisha Wazayuni kwamba hawatowaona tena mateka wao hivyo wanapaswa kuwaaga kutokana na kuvamiwa Ghaza.
-
Ansarullah: Silaha mpya zimeingia kwenye uwanja wa vita; Jahannam inamsubiri Waziri wa Vita wa Israel
Sep 20, 2025 08:03Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen huku akipuuzilia mbali vitisho vya waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametangaza kuingia kwa silaha mpya katika medani ya vita kati ya nchi ya Kiarabu na utawala haramu wa Israel pamoja na washirika wake wa Magharibi.
-
Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?
Sep 20, 2025 06:19Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka 'kaburi' la askari wenu
Sep 19, 2025 07:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa kizayuni wa Israel kwamba hatua yake ya kuzidi kujiingiza ndani ya Mji wa Ghaza kutaugeuza mji huo kuwa "kaburi," la wanajeshi wa kizayuni baada ya sita miongoni mwao kuangamizwa na wanamuqawama wa Palestina katika matukio tofauti wakati wa jeshi la Israel likiwa linaendeleza mashambulizi makali na ya kinyama yanayolenga kulikalia kwa mabavu eneo lote la Ghaza.
-
UNIFIL yaitaka Israel ikomeshe mashambulizi, iondoke kikamilifu katika ardhi ya Lebanon
Sep 19, 2025 07:34Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon, UNIFIL imesema, shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Israel jana usiku kusini mwa Lebanon ni ukiukaji wa wazi wa azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama na tishio la moja kwa moja kwa hali tete ya uthabiti katika eneo hilo.
-
Kiongozi wa Ansarullah akosoa misimamo dhaifu ya nchi za Kiislamu na Kiarabu kuhusu jinai za Israel
Sep 19, 2025 03:25Akikosoa misimamo dhaifu ya nchi za Kiarabu na Kiislamu katika kikao cha hivi karibuni cha Doha dhidi ya hujuma ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Qatar, kiongozi wa Ansarullah amesisitiza kuwa, vitisho vya Israel haviko kwenye medani ya Palestina pekee bali vinalenga jamii nzima ya Kiislamu.
-
UNICEF yaonya tena kuhusu utapiamlo miongoni mwa watoto wa Gaza
Sep 19, 2025 03:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa zaidi ya watoto 26,000 katika Ukanda wa Gaza wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na utapiamlo mkali.
-
Hamas yawataka walimwengu kushiriki siku za hasira za kimataifa dhidi ya Wazayuni
Sep 18, 2025 23:07Katika jitihada zake mpya za kuungwa mkono kimataifa wananchi wa Ghaza na wananchi wa Palestina kiujumla, harakati ya Hamas imetoa mwito kwa watu wote walio huru duniani kuzitangaza siku Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kuwa siku za hasira za kimataifa dhidi ya Wazayuni wavamizi na wafuasi wao kupitia kukusanyika mbele ya balozi za nchi zote zinazoshiriki kwenye jinai za Ghaza.
-
Shambulio la Israel Doha laleta wasiwasi wa kugawika Misri vipande vipande
Sep 18, 2025 23:06Baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya shambulio la kigaidi huko Doha, mji mkuu wa Qatar, Waziri Mkuu wa Misri amesema kwamba nchi yake nayo inalengwa katika njama za kuchora upya ramani ya eneo la Asia Magharibi na kuna hatari ikagawika vipande vipande.