-
Rais wa Afghanistan atiwa wasiwasi na kukwama mazungumzo ya amani ya Doha
Oct 29, 2020 23:00Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema, anatiwa wasiwasi na kukwama mazungumzo ya kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini humo yanayofanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
-
Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq
Oct 29, 2020 03:23Maelfu ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu.
-
Kukwama mazungumzo ya amani ya Afghanistan; Trump apoteza karata ya turufu kabla ya uchaguzi wa rais
Oct 29, 2020 03:19Serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban ambazo tangu tarehe 12 mwezi Septemba zilianza mazungumzo ya amani huko Doha mji mkuu wa Qatar hadi sasa zimeshindwa kufikia mapatano. Kuhusiana na suala hilo, Zalmay Khalilzad Mjumbe Maalumu wa Marekani katika Masuala ya Afghanistan ambaye kwa mara kadhaa alikwenda Qatar kunakofanyika mazungumzo hayo ya amani amekiri waziwazi kwamba mazungumzo ya amani ya Afghanistan yamefeli.
-
Wauaji wa Waziri wa Michezo wa Yemen wajulikana, Ansarullah yailaumu Marekani na Saudia
Oct 28, 2020 23:23Vyombo vya usalama na upelelezi vya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa nchini Yemen vimebaini utambulisho wa watu waliofanya mauaji ya aliyekuwa Waziri wa Michezo na Vijana wa nchi hiyo, Hassan Zaid.
-
Wamarekani magaidi waendelea kuiba mafuta ya Syria
Oct 28, 2020 08:54Duru mbalimbali za Syria zimetangaza habari ya kuendelea wizi wa mafuta ya nchi hiyo unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani.
-
Waziri wa Vijana na Michezo wa Yemen auawa na 'maajenti' wa Saudia
Oct 28, 2020 01:04Waziri wa Vijana na Michezo wa Yemen ameuawa katika operesheni ya genge la kihalifu lenye mfungamano na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia.
-
UN: Utapiamlo kwa watoto wa Yemen umefika kiwango cha juu kabisa
Oct 27, 2020 07:42Sehemu za Yemen zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha utapiamlo kwa watoto, na nchi hiyo inaelekea kwenye baa kubwa la mgogoro wa usalama wa chakula.
-
Changamoto za Saad al-Hariri katika mara yake ya nne ya Uwaziri Mkuu wa Lebanon
Oct 27, 2020 06:40Saad al-Hariri alijiuzulu Uwaziri Mkuu wa Lebanon oktoba 31 mwaka uliopita wa 2019. Oktoba mwaka huu ikiwa imepita mwaka mmoja, kwa mara nyingine tena alipatiwa jukumu la kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Mufti wa Oman: Waislamu waondoe mitaji yao katika sekta za uchumi za Ufaransa
Oct 27, 2020 03:55Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amewatolea mwito Waislamu wa kuondoa mitaji yao waliyowekeza kwenye vituo na sekta za uchumi za Ufaransa.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani
Oct 27, 2020 03:54Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa Quds tukufu haitauzwa, si kwa amri ya Israel, serikali ya Marekani wala nchi nyingine yoyote duniani.