-
Kauli ya Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan kufuatia kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo
Aug 11, 2020 02:27Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa, askari wa jeshi la nchi hiyo wanao uwezo wa kuilinda nchi yao na kupambana na magaidi. Kauli hiyo ya Wizara ya Ulinzi wa Afghanistan imetolewa kufuatia uamuzi wa Marekani wa kuendelea kupunguza idadi ya wanajeshi wake walioko nchini humo.
-
Hamas: Wapalestina wanapaswa kuulinda Msikiti wa al Aqsa
Aug 11, 2020 02:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imewataka Wapalestina wote kutetea na kuulinda Msikiti mtakatifu wa al Aqsa na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti huo.
-
Bin Salman aitwa mahakamani Washington kujibu tuhuma za kutaka kumuua al Jabri
Aug 11, 2020 01:04Mahakama ya Washington DC imemtaka mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman na wenzake 13 kufika mahakamani kujibu tuhuma za kufanya jaribio la kutaka kumuua kigaidi Saad al Jabri, mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia aliyekimbilia nchini Canada.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu
Aug 10, 2020 23:07Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diyab amejiuzulu. Diyab amechukua uamuzi huo kufuatia mripuko uliotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut na kutokana na mashinikizo ambayo yameendelea kuiandama serikali ya nchi hiyo.
-
Kabila la Akidat la nchini Syria laanzisha muqawama dhidi ya vikosi vya Marekani na wanamgambo wa SDF
Aug 10, 2020 20:58Kabila la Akidat katika mkoa wa Deir- ez Zor nchini Syria limeanzisha muqawama wa wananchi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na waitifaki wao.
-
Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wajiuzulu
Aug 10, 2020 10:24Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wamejiuzulu nyadhifa zao kufuatia mlipuko mkubwa ulioikumba nchi hiyo wiki iliyopita.
-
Washington Post: Saudia inaongozwa na mwanamfalme wa makundi ya mauaji
Aug 10, 2020 05:21Gazeti la Washington Post la Marekani limefanya ulinganisho baina ya mauaji yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo, Jamal Khashogi, na jaribio la mauaji ya kigaidi lililofanywa na watu wa karibu na mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman dhidi ya mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia, Saad al Jabri na kusema Saudi Arabia inaongozwa na mrithi wa ufalme anayesimamia makundi ya mauti.
-
Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza
Aug 10, 2020 03:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu chokochoko zake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon
Aug 10, 2020 01:58Marekani imeshadidisha hatua na mwenendo wake wa uingiliaji masuala ya ndani ya Lebanon kwa shabaha ya kudhoofisha mhimili wa muqawama na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah.
-
Radiamali ya Qatar kwa njama ya Saudia ya kupanga kuishambulia kijeshi nchi hiyo
Aug 09, 2020 23:56Qatar imejibu taarifa iliyofichuliwa na jarida la Foreign Policy linalochapishwa nchini Marekani kuhusu pendekeo lililotolewa na Saudi Arabia kwa Marekani la kuiomba iishambulie Qatar na kutangaza kuwa kutokanusha suala hilo kunamaanisha kuwa Saudi Arabia ilikuwa kweli na nia ya kuishambulia Qatar.