-
Bunge la Iraq kufungua faili la vibaraka za Saudia wenye mfungamano na Marekani
Aug 09, 2020 23:55Mjumbe wa Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Bunge la Iraq amesema kuwa bunge hilo na jumuiya za wananchi zinafanya jitihada za kufungua faili la vibaraka wa Saudi Arabia wenye mfungamano na Marekani nchini Iraq.
-
Canada yaimarisha ulinzi wa Saad al-Jabri anayesakwa na bin Salman ili auawe
Aug 09, 2020 07:16Serikali ya Canada imeimarisha maradufu ulinzi na usalama wa Ali Saad al-Jabri, mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia ikihofia kuuawa na serikali na Saudi Arabia.
-
Maelfu wakusanyika mbele ya makazi ya Benjamin Netanyahu wakitaka ajiuzulu
Aug 09, 2020 07:12Maelfu ya waandamanaji wenye hasira wamekusanyika mbele ya makazi ya Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel Benjamin Netanyahu yaliyopo katika mtaa wa Balfour huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) na kutaka mwanasiasa huyo ajiuzulu.
-
Wafuasi wa Baraza la Mpito la Kusini na vikosi vya Mansour Hadi waanza kupigana tena kusini mwa Yemen
Aug 09, 2020 07:11Mapigano makali yameanza tena kusini mwa Yemen baina ya wapiganaji wa Baraza la Mpito la Kusini wanaoungwa mkono na serikali ya Imarati na vikosi vya serikali iliyojiuzulu ya Mansour Hadi.
-
HAMAS yaonya kuhusu njama ya kuuyahudisha Msikiti wa Ibrahim (as)
Aug 09, 2020 03:43Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa onyo dhidi ya hatua unazopanga kuchukua utawala wa Kizayuni wa Israel za kuuyahudisha Msikiti wa Nabii Ibrahim (as) ulioko katika mji wa Al Khalil huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Qatar: Kutokanusha Saudia ni ithibati kwamba ilikuwa na mpango wa kutushambulia kijeshi
Aug 09, 2020 03:43Kufuatia ripoti ya jarida la Foreign Policy iliyofichua kwamba Saudi Arabia ilikuwa na mpango wa kuishambulia kijeshi Qatar, Mkuu wa ofisi ya habari katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema, kutokadhibishwa habari hiyo na Saudia kunathibitisha ukweli wa suala hilo.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Kujiweka mbali na "Uwalii wa Umma" ndilo chimbuko la matatizo ya Umma wa Kiislamu
Aug 08, 2020 23:01Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
-
Abdullah Abdullah: Duru ya kwanza ya mazungumzo ya amani baina ya Waafghani itafanyika Qatar
Aug 08, 2020 22:47Mkuu wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, duru ya kwanza ya mazungumzo ya kutafuta suluhu na kurejesha amani kati ya serikali ya nchi hyo na kundi la Taliban itafanyika nchini Qatar.
-
Iran yawasilisha malalamiko UN kwa uafriti uliofanywa na Marekani dhidi ya ndege yake ya abiria
Aug 08, 2020 22:47Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kutaka Marekani itambuliwe kuwa ndiyo inayobeba dhima kwa uchokozi uliofanywa na ndege zake za kivita dhidi ya ndege ya abiria ya Iran.
-
Msimamo wa Sayyid Nasrullah kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut
Aug 08, 2020 10:16Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah jana usiku alizungumzia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut akisisitiza udharura wa kutambuliwa wahusika wake na kukaribisha misaada ya nchi za kigeni kwa Lebanon.