-
Nasrullah: Mlipuko wa Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa
Aug 08, 2020 06:33Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu Yemen ni mbaya mno
Aug 08, 2020 03:43Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, Yemen ingali inakabiliwa na hali mbaya mno ya kibinadamu ulimwenguni.
-
WFP kutoa misaada kwa Lebanon baada ya kuathiriwa na mlipuko wa Beirut
Aug 07, 2020 23:55Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa umeamua kuisadia Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut.
-
Mauaji ya uhamishoni; jinai kwa mtindo wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia
Aug 07, 2020 23:53Saad al-Jabri, Mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia ya Saudi Arabia ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni nchini Canada amewasilisha mashtaka katika mahakama moja ya Marekani akisema kuwa, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia mwaka 2018 alituma timu ya kumuua yeye, ingawa njama za mauaji hayo zilisambaratishwa na viongozi wa Canada.
-
HAMAS yatoa wito wa kuanzishwa Kamati ya Kitaifa ya Kutetea Quds Tukufu
Aug 07, 2020 06:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kuanzishwa kamati ya mirengo yote ya Palestina kwa ajili ya kuutetea mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) na kuulinda kutokana na hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua watoto katika hujuma Yemen
Aug 07, 2020 06:04Utawala wa Saudia umetekeleza jinai nyingine Yemen katika hujuma mpya ambayo imepelekea raia wasiopungua 21, wakiwemo watoto, kuuawa au kujeruhiwa.
-
Malengo ya safari ya Macron mjini Beirut
Aug 07, 2020 02:24Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, siku mbili tu baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliosababisha maafa na hasara kubwa katika mji huo.
-
Mahakama ya kijeshi ya Lebanon yawakamata watu kadhaa kuhusiana na mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 22:39Mahakama ya Kijeshi ya Lebanon imetoa kibali cha kutiwa nguvuni wafanyakazi 16 wa bandari ya Beirut katika kesi inayohusiana na mlipuko wa Jumanne iliyopita katika bandari hiyo.
-
'Israel' inaongoza kwa maambukizi ya corona duniani
Aug 06, 2020 21:55Mkuu wa kupambana na ugonjwa wa corona au COVID-19 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) amesema: "Kwa kuzingatia idadi ya watu, Israel inaongoza kwa kuwa maambukizi ya juu zaidi ya corona duniani."
-
Hisia mbili tofauti kuhusu mripuko wa Beirut; mtazamo wa kiutu mkabala na uzandiki wa kisiasa
Aug 06, 2020 08:53Idadi ya watu waliofariki katika mripuko uliotokea Jumanne usiku katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut imefikia 137 na wengine wapato elfu tano wamejeruhiwa, lakini kuna uwezekano idadi hiyo ya vifo na majeruhi ikaongezeka.