-
Josep Borrell atoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 03:28Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia kujiri mlipuko katika bandari ya mji mkuu Beirut.
-
Maafisa wa bandari ya Beirut kifungo cha nyumbani wakisubiri uchunguzi; idadi ya vifo yafikia 135
Aug 06, 2020 02:03Baadhi ya maafisa wa mji wa Beirut wamewekwa katika kifungo cha nyumbani huku wakisubiri uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa wa siku ya Jumanne uliopelekea zaidi ya watu 100 kuuawa. Lebanon.
-
Rais wa Lebanon: Tutawapa adhabu kali waliosababisha kutokea mripuko wa Beirut
Aug 05, 2020 23:58Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza ulazima wa kufanyika uchunguzi haraka iwezekanavyo ili kubaini nini hasa kilichotokea kuhusiana na tukio la mripuko wa Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Athari mbaya za mlipuko wa Beirut
Aug 05, 2020 23:57Mlipuko mkubwa uliotokea Jumanne wiki hii mjini Beirut nchini Lebanon ambao vyombo vya habari vimeufananisha na mashambulizi ya mabomu ya nyuklia yaliyofanywa na Marekani dhidi ya mji wa Hiroshima nchini Japan wakati wa vita vya Pili vya Dunia, mbali na sababu za kutokea kwake, una taathira muhimu kwa nchi ndogo na muhimu ya Lebanon.
-
Iran yatuma misaada ya chakula na dawa Lebanon
Aug 05, 2020 06:30Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena ya kwanza ya misaada ya dharura ya dawa, vifaa vya tiba na chakula nchini Lebanon kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mlipuko wa jana mjini Beirut.
-
Atallah Hana: Ni khiyana kuanzisha uhusiano wa awaida na utawala ghasibu wa Israel
Aug 05, 2020 03:35Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox huko Quds Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesisitiza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala vamizi wa Israel ni khiyana na usaliti.
-
Watu wengine kadhaa wauawa katika mashambulio ya anga ya Saudi Arabia huko Yemen
Aug 05, 2020 03:33Watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya anga ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabiia huko Yemen.
-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan wa kuendelea mashambulio ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Aug 04, 2020 22:04Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amekosoa hatua ya Saudi Arabia ya kuendeleza hujuma na mashambulio yake ya kijeshi dhidi ya Yemen.
-
Lebanon inaomboleza vifo vya watu 100 baada ya mlipuko wa Beirut; mataifa mbalimbali yatoa pole
Aug 05, 2020 02:02Taifa la Lebanon linaomboleza baada ya mlipuko mkubwa katika mji mkuu Beirut uliopelekea zaidi ya watu 100 kuuawa na wengine zaidi ya 4000 kujeruhiwa.
-
Mlipuko mkubwa wautikisa mji mkuu wa Lebanon, Beirut + video
Aug 04, 2020 12:39Mlipuko mkubwa umeutikisha mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Mlipuko huo umejiri leo jioni karibu na Bandari ya Beirut na inahofiwa kuwa watu wasiopungua 10 wamefariki.